Chocs huyo vivian ana bahati mbaya na mimi nitakuwa tarakea tarehe 21 sasa sijui nisubiri huko huko vivian ukija tarakea unideep nitakuwa juu ya mti nasubiri simu yakoHahahaa,nikajua mambo yako ya wikiendi yameanza
Ngoja nimulze binamu yangu Mr Rocky kama ataweza kukupa lift
Asprin atakuangusha kwenye mto Ungasi pale maana hachelewi kuona nyota nyota kuwa na mrembo kama wewe vivian
kama we mtarakea lazima utakuwa na duka huku darsaita ... Saitama
saita ... Sayu
ha ha ha kwetu ni habari yafooo. Hiyo nimeiga tu
Ni PM namba yako mie naenda huko, ila tutapitia Morogoro tutalala siku moja then Dodoma siku moja ndo tutageuza speed tutalala tena Tanga siku moja baada ya hapo Tarakea hii..
baba V una tabia Mbayaaa.
Mimi nitaelekea marangu
Nipigie........Lift ya kwenda Tarakea Tar 23.
naomba unipitie hapa chalinze ukanidrop njia panda mie nakwenda sanya juu