Jamani natafuta mke kwa mahali ya sh.4,000,000.

Jamani natafuta mke kwa mahali ya sh.4,000,000.

Joined
Mar 2, 2013
Posts
63
Reaction score
7
Jamani natafuta mke kwa gharama hiyo.
 

Attachments

  • Photo0070_001.jpg
    Photo0070_001.jpg
    7.9 KB · Views: 551
Jamani natafuta mke kwa gharama hiyo.

Unataka kununua mke au kuoa mke? Maana umekaa kibiashara zaidi na si ki mapenzi ya kuoa umpendae. Unataka mke wa kukulimia, kukufugia na kukuzalia? au unataka mke wa kuishi naye kwa mapenzi na kujenga familia?
 
Hii ndiyo taabu wa vijana wadogo kupata malipo ya pili ya korosho matokeo yake wanakuja kujitangazia hapa.

Kama unataka promo kwa nini usitafute kiwanja au ukumbi wanapopiga Akudo, Mashujaa, Twanga Pepeta, FM Akademia, Extra Bongo ama Skylight Bands, uwaone wale marapa ongea nao vizuri wataku-promote tu, na siku hiyo hiyo utapata mchumba bora kabisa.
 
Wewe unalo lako jambo,Nijuavyo mimi mahari ni kutoa shukrani kwa wazazi kwa JINSI walivyomtunza binti yao, sasa 4MIL. huko nikununua mtu baada ya hapo kitakachofuatia ni mateso na masimango tu,oooh! nimekutolea mahari eti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom