Jamani naombeni msaada wana jf

Mkuu kama kuna kitu sikipendi maishani mwangu na sitakaa nikisilize ni kitu wazungu wanaita prejudice au maamuzi mbele, aka fallacy of generalization. Chukulia mtu personally wala ucchukulie kiujumla. hasira, upendo na mengineyo ni masuala binafsi ambayo hayapaswi kuwa attached na kabila fulani. Kama junampenda, mchunguze kama yeye na amua kuendelea au kuterminate mkataba if you may call it that way!

kiingereza chako kigumu unaweza kupunguza ukali wa grammer niweze kukujibu mkuu
 
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.

Mkuu naona leo umeleta viroja. Wewe umempenda yeye au umemchagua kwa sababu ya kabila lake? Kama umemchagua kwa sababu ya kabila basi nakushauri umwache kwa sababu hilo kabila ni watu wabaya sana. Ukita kujua ubaya wao zaidi basi nitakueleza siku nyingine.

Ila kama unahisi una chembe chembe za mapenzi naye....mpe nafasi ili uone kama unamuhitaji kwa dhati na si kwa ajili ya kufany amatambiko!
 
binamu hapo kwenye red sijakuelewa umenitusi au?
nikweli nakubaliana na ww kwamba tabia ni hulka ya mtu lakini kuna zile tabia za jumla jumla kama mfano wako uliotoa kwa wachaga ipo mifano mingi tu zaidi ya hiyo kwa wachaga hyo ndio point yangu binamu ila hapo kwenye red nifafanulie binamu

Unataka kuanzisha familia na kabila au mtu? Kama ni mtu binafsi basi msome tabia yake. Ukimfahamu vizuri endelea. Ukiona kasoro alizonazo huwezi kuvumilia achana naye mapema kabla hamjajenga mazoea.
 
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.

Uwe mwema sana kwake na usimfanyie vitu ambavyo vitamfanya aghadhibike. Kama itatokea ameghadhibika na ukisikia "Swelaaaah" basi jiandae na matanga
 
Mkuu naona leo umeleta viroja. Wewe umempenda yeye au umemchagua kwa sababu ya kabila lake? Kama umemchagua kwa sababu ya kabila basi nakushauri umwache kwa sababu hilo kabila ni watu wabaya sana. Ukita kujua ubaya wao zaidi basi nitakueleza siku nyingine.

Ila kama unahisi una chembe chembe za mapenzi naye....mpe nafasi ili uone kama unamuhitaji kwa dhati na si kwa ajili ya kufany amatambiko!

mkuu thanks kwa ushauri napenda uelewe kwamba sipo kikaabila wala nini natafuta kujua tabia za mtu binafsi ambaye ni muhehe kwa kaabila mpaka leo cjaweza kumtofautisha mtu na kabila lake labda nifundishe mkuu na shida yangu zaidi nikujua unachoniambia utanieleza cku ingine mkuu
 
Uwe mwema sana kwake na usimfanyie vitu ambavyo vitamfanya aghadhibike. Kama itatokea ameghadhibika na ukisikia "Swelaaaah" basi jiandae na matanga

nakushukuru mkuu angalau umenielewa shida yangu kwani haya ndo majibu ninayoitaji mkuu asante kwa kunipa mwanga pls endelea kunipa mengine
 
Unataka kuanzisha familia na kabila au mtu? Kama ni mtu binafsi basi msome tabia yake. Ukimfahamu vizuri endelea. Ukiona kasoro alizonazo huwezi kuvumilia achana naye mapema kabla hamjajenga mazoea.

jamani nifundisheni kumtofautisha mtu na kabila lake pls maana kila mtu anahasili yake na hii asili yake ndio utambulisho wake kama mtu ukienda mfano kenya mkabishana tu anakwambia ww mtanzania kwanini aniambie ivyo kwanini asinitaje mimi tu kama mtu
 
mkuu thanks kwa ushauri napenda uelewe kwamba sipo kikaabila wala nini natafuta kujua tabia za mtu binafsi ambaye ni muhehe kwa kaabila mpaka leo cjaweza kumtofautisha mtu na kabila lake labda nifundishe mkuu na shida yangu zaidi nikujua unachoniambia utanieleza cku ingine mkuu

Kwa mtazamo wangu ni kuwa kama huwezi kutofautisha huyo dada na kabila lake basi huna nia nzuri naye. You jusy have malicious and evil intentions. Kama siyo hivyo kwa nini usiwekeze akili yako kwake binafsi badala yake unaingiza ukoo wote na kabila lote?

Kama kuna kitu nakichukia sana ni kuweka kabila kwenye background wakati wa kufikiria na kuamua mambo!

Natumai umenielewa sasa!
 
nina nia nzuri nae tena sana ndomana natafuta wanapenda nini wanatabia gani mbona nipo wazi sana ila bado utaki kunielewa mfano watu wanasema wasema wanawake wa kikurya wakipigwa wao ndio kupendwa uko je hili unanitofautishiaje mkuu
 
Kama mmechukuana huko uheheni basi atakuwa na tabia kama za watu waliomzunguka (kwa hali hiyo Wahehe kama unavyotaka kusikia) ila kama kakulila uswahilini bado utasema ana tabia za Wahehe?

Mkuu hicho unachotafuta si tabia za huyo dada bali tabia za watu wanaoishi katika mazingira ya uheheni au ukuryani. Tabia ya mtu haiwezi kutenganishwa na mahali anapoishi kwani kuna msukumo mkubwa wa watu waliomzunguka. Ila unaweza kuendelea kutafuta. Hata hivyo ujue kuwa mchagua nazi.......!
 
mama mkubwa wangu ni mhehe na sijaona makasoro kiasi cha kusema wahehe No! cha muhimu ni kwamba tabia sio ishu ya kugeneralize hasa kwa maisha ya kileo. UNAWEZA KUOA MCHAGGA NA AKAWA mvivu kuliko wavivu wenyewe.
We mama la mixed .....sasa mama yako si mchaga? Inakuwaje ma mkubwa awe mhehe?
 
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.

Mimi ni mchagga lakini nina hasira, sidhani kama wachaga wote wana hasira kwa sababu tu mimi nina hasira. Kwa hiyo huwezi kuacha kuwa na mchagga kwa sababu mimi nimesema nina hasira. Kadhalika huwezi kuacha kuwa na huyo mhehe kwa sababu tu umesikia wahehe wana hasira. Haya kama kweli unampenda usimchakachue muoe, kama humpendi muache mtoto wa watu kwa amani.
 
hapo sio kwamba wote wanachakachuana LD?
 
Hata mimi huwa nina hasira kweli sio uliona siku ile nilipanda juu ya meza lol!!!!
 
kila mtu ameumbwa na silka yake,mwangalie yeye kama yeye na si kabila lake[/QUOTE]

Siyo kuangalia tu, hata kufikiria kabila lake tayari kwangu ni dhambi kubwa. Labda kama katumiwa hiyo parcel na wazazi wake toka huko uheheni.

Mtu mmekutana mjini, tayari wote ni synthetic products halafu unaanza kuuliza kabila? Siwezi kuelewa hata kidogo!
 
hapo sio kwamba wote wanachakachuana LD?

Mmmmmh yawezekana, lakini si unaona huyu kashaona
Kasoro kwake au hana uhakika kama ni sahihi kuwa nae
Kwa sababu kabila lake lina hasira. Dalili.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom