jamani naombeni msaada wa mawazo

ivii kuna tofauti kati ya kiongozi na muongozaji???
Kiongozi ni mtu anayewaongoza watu ktk sehem au ktk mazingira flan ma huchaguliwa na watu.
Muongozaji ni huyo kiongozi anapofanya majukumu yake ya uongozaji
 
Back
Top Bottom