Jamani naombeni msaada wa haraka sijasubmit maombi yangu ya otes

Leo mchana nimejaza nikasabmit,ikakunali kabisa nakuja kuangalia naambiwa incomplete application, please complete your application. Na nilijaza vyema maana huwezi kwenda hatua ingine kama hujamaliza moja, natakiwa kwenye secondary background, college background na choice inaonekana hakuna kitu. Najaribu kuingia haitaki kusavu nifanyeje!
IMG-20200911-WA0001.jpeg
IMG-20200911-WA0002_1599838018865.jpeg
 
Nami nakuta hivyo pia hivi hapo wameandika Form Four and Six sasa ukumaliza kujaza ya Form Four na ku upload cheti F4 ,F6 unajaza wapi na ku upload vipi mbona ukienda next inakupa masuala vyuo?
Ndo hapo hapo inakuja error hiyo na ukienda next inakubali lakini mbele unakutana error nyingine 8051... kama kuna mtu kakutana na hii nakafanikiwa kuisolve inabidi atuelekeze
 
Jamani msaada nimefanya maombi ya ajira za ualimu mpaka nikafika kwenye kipengele cha submit siku submit lakini appliction inanambia iko completed sasa kwa mwenye uzoefu anisaidie mambi yangu yataondkana kwenye syste au laa au niwapigie simu. Pia naomba msaaada jinsi ya kujaza index no ya form four na form six.
Acha kutisha watu wewe. Wakurugenzi wengi wanazingua. Hayo yako wazi. Kama huwezi kutoa maoni mazuri nyamaza kimya.
 
Back
Top Bottom