Jamani naomba ushauri wako. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naomba ushauri wako.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Fimbo ya Musa, Oct 27, 2012.

 1. F

  Fimbo ya Musa Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi naomba mnishauri: nimekaa kijiji(home) kwa muda wa mwaka sasa baada ya kumaliza degree yangu ya Accountancy na kutafuta kazi pasipo mafanikio yoyote! Nimeamua kuja Dar kwa lengo la kutafuta kazi. NAOMBENI MNISHAURI NIANZIE WAPI JAMANI kwani wengi wenu ni wazoefu wa jiji hili na mnajua maujanja ya kupata kazi. Asante
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Soma CPA kwanza.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Tuma cv kwenye mabenki yote. Ingia mtandaoni, google. Watumie cv sema.unahitaji kazi ama.internship.
   
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  badili jina au kwenye jina lako ongeza majina kama kikwete, lowassa, mramba, chenge, mwinyi utapata kazi haraka.
   
 5. F

  Fimbo ya Musa Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha masihara we father of all!
   
 6. F

  Fimbo ya Musa Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana.
   
 7. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Muda wa kusubiria mpaka nafasi zitangazwe gazetini zimeshapitwa na wakati!Nenda physically kwenye ofisi uulizie kazi ndugu!
   
 8. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ninachomaanisha ni kwamba kama huna ndugu hasa wenye majina makubwa imekula kwako mwanangu Fimbo ya Musa. Sikuwangii wala kukutania zaidi yakujisika vibaya jinsi vijana wetu wanavyosota bila kazi wakati majambazi wakubwa wakiwapa watoto na jamaa zao tena wasio na elimu ya kutosha.
   
 9. F

  Fimbo ya Musa Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana mkuu,ila kwasababu nina family naona itakuwa ngumu kufanya reviews za cpa bila kazi.
   
 10. F

  Fimbo ya Musa Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana itegama twi, nakuomba atleast unielekeze office hata chache kwa uzoefu wako ambazo naweza kuziona. Funguka mkuu.
   
 11. F

  Fimbo ya Musa Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok,nimekuelewa father of all, ila naomba uendembele zaidi ya hapo kwa uzoefu wako inijuze chakufanya mkuu
   
 12. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280

  Huwezi kuwa serious basi kama hujui hata sehemu ambayo unafit kufanyakazi kwa taaluma uliyonayo! I mean you have to visit all possible areas ambazo unaqualify kuwa mfanyakazi (Hasa ofisi za private),nipo serious kuna jamaa yangu alishawahi kupata kazi kama mzaha tu alikwenda kwenye ofisi fulani kutest zali. Mimi kwa fani yako ya Accountancy siwezi kusema exactly uende wapi maana bahati mbaya taaluma yangu ni tofauti kabisa na yako so sehemu za kutafutia kazi unazijua wewe Mkuu!!
   
 13. F

  Fimbo ya Musa Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana itegamatwi. Ila ukisikia kuna office yoyote kuna opportunity naomba unip.m. Vp kwenye office za usafirishaji/uchukuzi naweza kupata huko?
   
 14. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  pole sana mkuu, wenzako wanaikimbia dar.
   
 15. F

  Fimbo ya Musa Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda hao wanamichongo huko mikoani. Ebu nawewe nipe uzoefu wako mkuu
   
Loading...