Jamani naomba msaada wa mapenzi yananisumbua

Jan 7, 2012
61
7
Nilimpenda dada mmoja cha kushangaza tangu nimwambie i lv u, amekata na mimi mawasiliano sim hapokei, wala sms hajibu naumia sana bcoz nampenda mpaka najuta kwanini nisingeendelea na msimamo wangu wa kutokuwa na mwanamke mpaka nioe tatizo ni kwamba ninampenda mpaka msimamo wangu ukaishia hapo. Jaman naomba mnishauri.
 
ana wa kwake huyo...anaepusha shari usimuharibie kitumbua, 4get abt her usonge mbele...haya maisha tu bro.
 
Lakini sasa kaka hata kuniambia kwamba nina wangu hajasema.anaonesha ana dharau sana yaan nampigia simu anaitazama tu.
 
Nilimpenda dada mmoja cha kushangaza tangu nimwambie i lv u, amekata na mimi mawasiliano sim hapokei, wala sms hajibu naumia sana bcoz nampenda mpaka najuta kwanini nisingeendelea na msimamo wangu wa kutokuwa na mwanamke mpaka nioe tatizo ni kwamba ninampenda mpaka msimamo wangu ukaishia hapo. Jaman naomba mnishauri.

kumbe unaweza oa mwanamke mwingine tofauti na uyo!! sometimes ni vizuri ku-give up
 
ohooo kumbe umegundua ana dharau! so what next? hujamuoa anakuonyesha dhalau, sasa lazimisha umuoe ili aje akufunze hasara za kumuoa mke mwenye dhalau, utaisoma namba, ndugu watajuta, marafikizo watakoma, majiran ndo watadhauliwa double, fumbua macho
 
We jaribu kutumia kila njia akusamehe, alafu makesure una mnanii... then achana naye, chukuwa mwingine atajifunza adabu. shenzi taipu
 
Vumilia tu mkuu yana mwisho tu hayo, na mimi yananikuta sana hayo. huwa kila niliowahi kuwapenda walinikataa, na sijui kwa nini huwa inakuwa hivi kwa sisi vijana
 
Pole sana pedeshee! Dunia ndio ilivyo unaempenda akupendi.

Usijali wala usikate tamaaa wewe siyo wa kwanza kufanyiwa hivyo.

Songa mbele wanawake ni wengi sana.
 
Nilimpenda dada mmoja cha kushangaza tangu nimwambie i lv u, amekata na mimi mawasiliano sim hapokei, wala sms hajibu naumia sana bcoz nampenda mpaka najuta kwanini nisingeendelea na msimamo wangu wa kutokuwa na mwanamke mpaka nioe tatizo ni kwamba ninampenda mpaka msimamo wangu ukaishia hapo. Jaman naomba mnishauri.

Unfahamiana na huyu dada kwa muda gani?
(isijekuwa umejitakia mwenyewe ma-heart break)
 
Kaka huyu dada nilifahamiana naye yapata miaka mitano sasa na ushee, pili mimi nina miaka 25 kaka mwez wa kumi kama mungu akivusha salama ntatimiza 26
 
Back
Top Bottom