Jamani naomba msaaa wa kuunganisha simu na computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naomba msaaa wa kuunganisha simu na computer

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by khaleedi said, Jul 19, 2012.

 1. k

  khaleedi said Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba msaada wa kuunga nisha computer yangu na simu aina ya nokia 6300, yaani niingize bando katika sim yangu alafu nitumie katika computer kwa ajili ya internate nitafanyaje jamani
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,588
  Likes Received: 18,571
  Trophy Points: 280
  kwa kuanzia lazima hiyo computer yako iwe na internate conectivity ili kuweza ku download drives. Kama ni laptop nenda nayo kwenye net cafe yoyote yenye wireless then unganisha simu yako kwa USB cable chochote itakachokuuliza wewe bonyeza ok itasearch na ku install drives.

  Ukisha instal kwa Nokio ni Ovi Suite, uki connect tuu simu yako, ovi inafunguka unaconnect direct, iko faster na low rates!.
   
 3. H

  Hardman JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 597
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  kama computer yako ina Bluetooth then connect kwa Bluetooth....fungua Bluetooth za devices zako (simu na computer) then nenda kwenye Network in ur computer,create the connection btn them.....try this ukikwama uliza tu
   
 4. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Mkuu hiyo process Mpaka awe na Nokia Pc suite bila hivyo hapati hiyo net
   
Loading...