Jamani nampenda sana mke wangu Jennifer

Jamani nampenda sana mke wangu Jennifer

Yaani.

Usiombe yakukute.

Nashindwa hata cha kusema.

Haya mambo uwe unayasikia tu kwa mwenzio/wenzio, usiombe muhusika mkuu uwe wewe mwenyewe
Acha tu Mkuu... Wengi wameingia ndoani na watu tofauti na mategemeo yao yalivyokua

Tunapenda tusipopendwa

Na tunapendwa tusipopenda...

Mwisho wa siku inabidi uingie kishingo upande ama kwa huruma tu upande wa pili wa usipopenda. Matokeo yake % kubwa ndoa inakosa afya...
 
Utaratibu wa wanaume katika hili jukwaa kuwasifia /kuonyesha jinsi tunawapenda wake zetu nadra kutokana na sisi wanaume kuwa na mipango ya kando mingi.

Leo nimeona niwaambie nanyi mjue kuwa nampenda sana mke wangu huyu hakika moyo wangu wote upo kwake.
Ahsanteni
Utakuwa umegundua mkeo anaifahamu username yako.Sasa unataka kuchukua pointi kiulainiiiii
 
Kanuni ya mapenzi (love principle) inasema "hakuna wapenzi wanaopendana kwa mizania sawa" (no two lovers can have an equal and balanced love).
Ukiona unampenda sana mpenzi wako ujue yeye amekaa kwako kwa sabb fulani ambazo ni nje ya penzi.
Sababu zaweza kuwa:-
- kiuchumi (anapata nafuu ya kimaisha kwa kuwa na ww)
- kimaumbile (si mzuri sana, hivyo hana options za kutosha).

"Ukiona unampenda sana ujuwe hupendwi, na ukiona humpendi sana ujue unapendwa sana
 
Very Illogical, And Irrelevant too
 
Acha tu Mkuu... Wengi wameingia ndoani na watu tofauti na mategemeo yao yalivyokua

Tunapenda tusipopendwa

Na tunapendwa tusipopenda...

Mwisho wa siku inabidi uingie kishingo upande ama kwa huruma tu upande wa pili wa usipopenda. Matokeo yake % kubwa ndoa inakosa afya...
Umenena.

Ukweli mtupu.

Haya mambo yapo sana, na yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, tena kwa asilimia kubwa sana.

Sema kwa hapa, kama tuwaombe waliopatwa na mikasa wajitokeze, kwa kweli wengi wao kwa asilimia kubwa hawatoweza kujitokeza.

Watajikaza kama mambo yako sawa, kumbe kiuhalisia kuna wengine mpaka tunavyozungumza hivi sasa, wamo kwenye mazito yaliowaelemea
 
Natamani wafunguke kama wapo ili tujihadhari nasie.
 
basi weka na picha tumjue, siku tukimuona mitaani tumuambie mume wako alisema anakupenda sana
 
Mimi nampenda sana mpenzi wangu wa zamani wa kuitwa Agness.

Jamani Agness, haya ngoja ninyamaze maana naweza tokwa machozi hapa.

Mtoto ana tako laini yulee.

Na ule ufupi wake.

Macho yake ya kulegea.

Weupe wake (sio mkorogo).

Jamani Agness naumia mie.

Ngoja nitoke, maana.

Agness, naanza kulia.

Hiii, hiii, hiii, ih ih ih.

Huuuu, huuuuu, hiiiii, hiiiii.

Na kwikwi juu,

Kwiu, kwiu, kwiu, kwiu, kwiu

hahahaaaaaa..pole bwana, ila cha kwanza ulichomkumbukia tako laini hahahhaaa
 
Very Illogical, And Irrelevant too
Mmh! Jipe moyo ndugu. Aliimba Lady jaydee kuwa usiusemee moyo. Na Twanga pepeta waliimba kuwa Moyo wa MTU ni kichaka.
Usikae hapa unatuaminisha eti unampenda mpenzi wako na unataka tuamini kuwa na wewe unapendwa. Wewe hupendwi ndugu. Mwenzi wako yuko kwasabb za kimaumbile...hebu mtathimini vizuri amekamilika? Akina Flora Mbasha walitunga mpk wimbo wakisifia ndoa kama ww leo wako wapi. Kalaga baho!!! Sijui niendelee kukupasha ww wa Mbwinde?? Acha niishie hapa.
 
Utaratibu wa wanaume katika hili jukwaa kuwasifia /kuonyesha jinsi tunawapenda wake zetu nadra kutokana na sisi wanaume kuwa na mipango ya kando mingi.

Leo nimeona niwaambie nanyi mjue kuwa nampenda sana mke wangu huyu hakika moyo wangu wote upo kwake.
Ahsanteni
aisee hata mimi nampenda sana Jennnifer
 
Kanuni ya mapenzi (love principle) inasema "hakuna wapenzi wanaopendana kwa mizania sawa" (no two lovers can have an equal and balanced love).
Ukiona unampenda sana mpenzi wako ujue yeye amekaa kwako kwa sabb fulani ambazo ni nje ya penzi.
Sababu zaweza kuwa:-
- kiuchumi (anapata nafuu ya kimaisha kwa kuwa na ww)
- kimaumbile (si mzuri sana, hivyo hana options za kutosha).

"Ukiona unampenda sana ujuwe hupendwi, na ukiona humpendi sana ujue unapendwa sana
una bahati mbaya na kanuni huzijui

Sio kila mtu anateseka mazee

shtuka
 
Mkuu Noel hongera kwa kuja na kitu tofauti leo hapa mahala kuhusu wanawake, (kwa mfano wa mkeo) na kubadilisha mandhari ya jukwaa kwa kiasi fulani.

Tumezoea kuona makala nyingi zaidi za kuweka wanawake chini. Kuponda, kutukana, kudhalilisha, kunyanyasa, kucheka mapungufu yetu badala ya kutoa maoni ya kujenga na kuumiza wanawake (generally) in one way or the other.

Inasikitisha kuwa hii kitu imekuwa norm ya hapa pahali. Mbaya zaidi inasikitisha kufahamu kuwa huu ni mtazamo wa kaka zetu na watanzania wenzetu wengi, wenye wake na wengine ni wazazi au wataja kuwa wazazi wa watoto wa kike, ambao wanaweza kudhalilishwa the same way, wakiwa watu wazima.

Hopefully unamwambia mkeo haya maneno mazuri kila siku, mara kadhaa kwa siku, na kutoka moyoni. Way to go mkuu!

Keepy rup!
 
Utaratibu wa wanaume katika hili jukwaa kuwasifia /kuonyesha jinsi tunawapenda wake zetu nadra kutokana na sisi wanaume kuwa na mipango ya kando mingi.

Leo nimeona niwaambie nanyi mjue kuwa nampenda sana mke wangu huyu hakika moyo wangu wote upo kwake.
Ahsanteni
Je, unauhakika kwamba nayeye mkeo anakupenda sawa na vile unavyo mpenda?
Je, unahisi hato badilika na kukurudisha hapa jamvini ukimlilia kwa kukuumiza?
If all of the above is Yes.....
Tuambie umetumia kipimo gani aiseeee...[emoji101]
Ebu ngoja niishie hapa
 
Valentine day ilishapita jamani pigeni kazi mapenzi ya kihindi waachieni wenyewe
 
Mimi nampenda sana mpenzi wangu wa zamani wa kuitwa Agness.

Jamani Agness, haya ngoja ninyamaze maana naweza tokwa machozi hapa.

Mtoto ana tako laini yulee.

Na ule ufupi wake.

Macho yake ya kulegea.

Weupe wake (sio mkorogo).

Jamani Agness naumia mie.

Ngoja nitoke, maana.

Agness, naanza kulia.

Hiii, hiii, hiii, ih ih ih.

Huuuu, huuuuu, hiiiii, hiiiii.

Na kwikwi juu,

Kwiu, kwiu, kwiu, kwiu, kwiu

hahahaaaaaa agie jamani rudiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom