Jamani nampenda sana mke wangu Jennifer

Jamani nampenda sana mke wangu Jennifer

Utaratibu wa wanaume katika hili jukwaa kuwasifia /kuonyesha jinsi tunawapenda wake zetu nadra kutokana na sisi wanaume kuwa na mipango ya kando mingi.

Leo nimeona niwaambie nanyi mjue kuwa nampenda sana mke wangu huyu hakika moyo wangu wote upo kwake.
Ahsanteni
hujui kuwa ukimwaga asali,unavutia nyenyere?
 
Huyu wangu komesha mana akili ya maisha anayo kutafuta ndo usiseme,tukiwa faragha Hatari kitu gani asichokijua...Mungu ambariki sana
 
Mimi nampenda sana mpenzi wangu wa zamani wa kuitwa Agness.

Jamani Agness, haya ngoja ninyamaze maana naweza tokwa machozi hapa.

Mtoto ana tako laini yulee.

Na ule ufupi wake.

Macho yake ya kulegea.

Weupe wake (sio mkorogo).

Jamani Agness naumia mie.

Ngoja nitoke, maana.

Agness, naanza kulia.

Hiii, hiii, hiii, ih ih ih.

Huuuu, huuuuu, hiiiii, hiiiii.

Na kwikwi juu,

Kwiu, kwiu, kwiu, kwiu, kwiu
duuu au ndio huyu agness niliyenae sasa maana hizo sifa zote anazo
 
i understand u. imenitokea hii na cjapata mwingine wa kumpenda km yeye na hatotokea.
Umeona e...

Huo ndio ukweli.

Kwa sisi Binaadam utaruka ruka, utajifanya mjanja, utajifanya hukamatiki, utajifanya huwezi kupenda, utajifanya huna moyo wa udhaifu, utajifanya una/unao msimamo, utajifanya mgumu, ila kuna sehemu/mahali lazima unase, upatikane, ushikwe, hilo halina mjadala
 
duuu au ndio huyu agness niliyenae sasa maana hizo sifa zote anazo
Kelele wee.

Tumepitia mikasa/vikwazo mingi/vingi kimapenzi, halafu wewe unanitambia hapa.

Nakuambia nitakutafuta, tutaumizana, usilete mchezo, huyo mtoto mimi sizungushi kwake
 
Kama unanipenda ninunulie note 4
Kama huji nayo usinione kamwe
 
Jennifer rudi kwa mume wako....tutaendelea kukutana hivi hivi kiuwizi wizi...
 
Twendekazi
 

Attachments

  • IMG-20160421-WA0017.jpg
    IMG-20160421-WA0017.jpg
    26.7 KB · Views: 52

Similar Discussions

Back
Top Bottom