Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Mahaba nikomeshe niwe kama falah
Tumeshakuwa watumwa wa hii mambo, utashangaa mwanaume yuko kama.zoba kwa mke wake, harakaharaka unaweza dhani ni mapenzi kumbe ni utumwa wa tako, and women knows very much this weakness to her man shall use it for grantedMbaya zaidi anasifu tako tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] n ajabuuu eeeeMbaya zaidi anasifu tako tu
Mimi Nampenda zaidi.Utaratibu wa wanaume katika hili jukwaa kuwasifia /kuonyesha jinsi tunawapenda wake zetu nadra kutokana na sisi wanaume kuwa na mipango ya kando mingi.
Leo nimeona niwaambie nanyi mjue kuwa nampenda sana mke wangu huyu hakika moyo wangu wote upo kwake.
Ahsanteni
Isiishie kusema unampenda hapa na ukiwa nae nyumbani.
Muonyeshe kwmb kweli we uliumbwa kwa ajili yake mlinde kwa moyo wako wote usimkaripie kila mara km kakosa mkanye km unamfanyia utani.
usiishie hapo mfanye ajihisi dunia ni yake mfanye asiwe boring kbs.
Nenda mbali zaid ukifika hom ukiona hapajakaa sawa usimuulize we osha vyombo ogesha watt muulize na yy km anataka kuogeshwa.ukitoka kwa job mpelekee ht pipi choklet.
Mfanye amuogope mungu hilo ndo jambo muhimu.
wanawake wa nje wakikutongoza mwambie huyu ananitaka umpe na namba amtukane.
Wapo wanaowaweka ndani lakini hawawapendi. Unakuta tangu kamuweka ndani hakuna siku amemtamkia anampendaKhaaa cha ajabu nini tena hapo?! Ndio maana ukamuoa na kumweka ndani.........
Hahaha noma sana mkuuu,hakuna neno linanichekeshaga kama hili,uwiiiiii mbavu zangu,mahaba niuwe nigalagaze unavyotaka.Mahaba nikomeshe niwe kama falah
Hebu tufungukie kidogo tuMaisha mtu wangu.
Kwahili sitofunguka, naona nitajiumiza
Isiishie kusema unampenda hapa na ukiwa nae nyumbani.
Muonyeshe kwmb kweli we uliumbwa kwa ajili yake mlinde kwa moyo wako wote usimkaripie kila mara km kakosa mkanye km unamfanyia utani.
usiishie hapo mfanye ajihisi dunia ni yake mfanye asiwe boring kbs.
Nenda mbali zaid ukifika hom ukiona hapajakaa sawa usimuulize we osha vyombo ogesha watt muulize na yy km anataka kuogeshwa.ukitoka kwa job mpelekee ht pipi choklet.
Mfanye amuogope mungu hilo ndo jambo muhimu.
wanawake wa nje wakikutongoza mwambie huyu ananitaka umpe na namba amtukane.
Hapo umenena.hii sio kumbukumbu nzuri tuishie hapa ila pole sana kaka!
Inauma sana mkuuSiku nyingine.
Inauma ujue
Yaani.Inauma sana mkuu