HATA MEN ALWAYS ARE DEVILS I DONT TRUST MEN,hawana maana pia wana tamaa zilizokithiri!!!!mara ngani mwanaume anaenda kujitambulisha kwa mdada na ana lala mbele???mara ngapi anaaumua mpaka kuoa kumbe ana makandokando yake kibao??????better u take precaution mapema kabla mambo hayajaharibika....!!!women always are devils i dont trust women,hawana maana ujingaujinga tu,tamaa mbele.
Anakuonya, Anakusamehe halafu anakuomba mpange zaidi mipango ya harusi yenu.
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
mwaJ kwani wewe kuwa Mwita Maranya ni Mkurya wa Tandale kwa Mziba Riziki?Mwita Maranya njoo umsome Bujibuji! Kwani nikijaribu ndio itakuwa hivyo?
mwaJ kwani wewe kuwa Mwita Maranya ni Mkurya wa Tandale kwa Mziba Riziki?
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
Mbona unajitia stress bure,kwani mahari umelipa roho yako au pesa na vitu? sasa kwanini ujilazimishe kama umeona hamtuwezana au hamuwezani kwanini shida na raha zimejaa tele! kama kuna kitu anafanya na hupendi muonye na kama hakuelewi mwabie tabia yako na yangu haiendani basi,na mahari pia unaweza muachia kwani pesa zinatafutwa sio furaha. la unaona mahari yako yatapotea na unataka kununua ----- kwa pesa ukuwashe maisha choice ni yako ndugu.....