Hebu soma hii nimecheeeeeka......... narudia hayanihusu
Sifa za WAENDAO vyuoni.
Sifa za WAENDAO vyuoni.
- Matajiri na wenye akili MZUMBE
- Mahandsome na warembo IFM
- Masikini na washamba SUA
- Malaya na wasiojiweza kiakili CBE Dar
- Upeo mdogo na watoto wa Mama TUMAINI
- Waliokosa vyuo kabisa MAKUMIRA MWENGE
- Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima UDOM
- Wasiojali future zao USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE
- Wenye uwezo ila walifeli 4m 6 IAA, DTI
- Majigambo kibao na hamna kitu UDSM
- Wasiofahamu umuhimu wa elimu wanategemea chabo ndo wafaulu (Magogoni)