Jamani najihami sio mimi msinihukumu

Jamani najihami sio mimi msinihukumu

Tonykp n' Passion Lady

romantic-love-quotes.jpg



hahaaaa!wewe mtu ww
chabo si nzuri ujue!
 
Last edited by a moderator:
Mpango mzima QT tu. mie na mzee mwenzangu mwenyekigoda wa enzi wa mnyama wa msimbazi tunasongesha mdogomdogo japo mwaka huu Ndalichako katufanyia fitna kwa kutuweka kwenye wale laki mbili na ushenzi, hatujakata tamaa
hahahaaa!endeleeni msikate tamaa
na uze
e wote huo!
 
ah ah! magogoni ni size yenu, mie kichwa upepo niliishia form 2 enzi izo unapita kwa wastani

sidanganyiki ni wewe
nilikua nakuona na ukafeli vibaya coz
chabo ilidunda!mazombie walikuepo kitambo ujue!

 
Kazi ni kwenu mliosoma Bongo...
 
Hahahaa!Pilau Utashambuliwa wewe, ingawa kuna ukweli pale No 2,4,10 na 11. ingawa siyo wote.Maana mimi nimesoma hapo kwenye 2.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom