Jamani naenda kufumania


Hujui kuwa na yeye ni member humu? Umeshauza deal!
 
Hahahahaaaa!
Hamnaa! ile nimegundua haijengi pia haileti umoja!
Hata shosti wako (Hvn n E)hakuifurahia! Hahahaaaa!
Labda unidadavulie vizuri udhaifu wa hii bila kufikiria kumlenga mtu!
Mmwee! Unanituhumu bureeee!
Unamaanisha kinyume Mashaxizo lol
 
Last edited by a moderator:

Nenda.
 
Hahaha kama kaja kutueleza anaenda basi atupe na updates basi...wengine hatujawahi ona fumanizi linalorushwa live...

Nahisi jamaa anaweza akaanza kulia mayowe mtaa mzima, mama fulani ndo unanifanyia nini? Kisha kumuomba msamaha mke wake kwa kumfumania.
 
hakuna kesi wala usiogope...ni kama kusoma gazeti tu vile...

hahaha! Loh ! Emu nilale miye mwambie aweke na youtube video kabisaa ili tufaidi vzuri!! Daah!! Ucku mwema banaaa!!
 
Juzi kati hapa kuna mtu alileta uzi kuwa kuna jamaa yake alienda kumsuprise mkewe kilichotokea huko ni balaa,we nenda kama unaweza kuvumilia matokeo yake!!
 
Thubutu!! hata huo muda wa kuanzisha thread usingeupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…