Jamani..!!! Na Mbeya tena..??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani..!!! Na Mbeya tena..???

Discussion in 'Jamii Photos' started by St. Paka Mweusi, Mar 26, 2011.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Kijana wa miaka 17,Jafar Welino mkazi wa mtaa wa mianzini kitongoji cha Mabatini naye ameibuka na kikombe chake.

  [​IMG]
  Mama mkubwa wa kijana huyo Edina Sanga akisaidia zoezi la kutoa dawa
  [​IMG]

  Tangazo

  [​IMG]

  Dogo akipata kikombe..

  [​IMG]

  Dawa ikichemka.

  [​IMG]

  Wagonjwa wakisubiria dawa..


  Source: Michuzi.
   
 2. P

  Pomole JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii imeanza lini?nae kaoteshwa au mganga wa jadi?kama ni kweli basi tusubiri tuone tunakoelekea na haya matibabu
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu, huyu naye anadai ameoteshwa ila yeye hajaoteshwa na Mungu bali kaoteshwa na mama yake mzazi ambaye kwa sasa ni marehemu.
   
 4. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nasikia Chama cha waganga wa dawa za kienyeji wanawakataa hawa jamaa. Sasa sijui ni kimaslahi ama kiprotokali.
   
 5. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  God help us!!!tutalishwa mpaka ma*i sasa!
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,753
  Trophy Points: 280
  Wabongo ndivyo walivyo!
   
 8. E

  ELLET Senior Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Modern Day mediums at work. Kwa wale wanao fuatilia alama za nyakati, tumefikia kile kipindi cha shetani kuigiza kuja kwa Yesu. What we are seeing are just preminary tests. Soon and very soon mtasikia kwamba Musa, Maria, Paul na mitume na manaabi wametokea wapo semu fulani wanasema hivi na hivi. Lakini Biblia inasema wafu hawajui lolote. Ndungu zangu shetani yupo kazini, let the reader understand.
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kila lenye mwanzo halikosi mwisho.. tutasikia mengi mwaka huu. sasa na huyu masharti ya kikombe ni yapi..?!! hakuna kurudia kama babu??
   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Dalili za watu kukosa imani. Kama kweli mfumo wetu wa afya ni affordable, hizi foleni za sasa zinatoka wapi? Ee Mungu Tupe ufahamu wanao, upepo wa Mashariki unatutikisa Bwana wetu.
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Ndugu zanguni hebu tuitazame vizuri hii picha na kuitafakari,hawa ni wagonjwa kweli au ni wahuni tu wamekusanywa ili kumfanyia matangazo kijana??
   
 12. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  jamani mbavu zangu, kuna bonge moja baa zima kabisa nalo kwenye foleni, hakianani
   
 13. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Paka, watu hawajapima ukimwi ila wana wasi wasi wana ukimwi, kuna watu wameenda kwa babu kwakua wana wasi wasi wana ngoma, si unajua tena tunavyoogopa majibu!
   
 14. T

  Tabby JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,898
  Likes Received: 5,530
  Trophy Points: 280
  He he he he he he he he. Leo nilikuwa busy sana sikujua nitapata fursa ya kucheka namna hii.!!!!
   
 15. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  swali: alikuwa wapi siku zote? mpaka anakuja kipindi hiki baada ya babu!
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Si ndio maana nimeshangaa na kujiuliza??
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Kwa yule warombo wala sikushtuka sababu nilijua ni lazima tu katika hawa ndugu zetu atatokea wa kuchagamkia tenda, sasa mpaka Nyanda za juu kusini??Sasa tusubiri sijui atakayefuata atakuwa wa wapi mpaka nafikiria na mimi nikusanye jamaa zangu nijitangaze waje kuchukua kikombe kwangu najua baada ya wiki moja tu naanza na mimi kukusanya mtaji.....
   
 18. c

  chetuntu R I P

  #18
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Me naona hao mi masela wake, hata babu kijana mwenyewe mmhh. Hiv vikombe mwaka huu!!
   
 19. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  tumeyataka wenyewe kwa kuaminiamini kila kitu kirahisirahisi!

  yana mwisho haya, Mungu yupo

  Glory to God
   
 20. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyu naye sijui atapata support ya waheshimiwa!
   
Loading...