Chris_Mambo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 595 Reaction score 122 Mar 27, 2011 #21 The World is very sick! Surely, we'll believe on everything!!!
F Fay2011 Member Joined Jan 29, 2011 Posts 46 Reaction score 9 Mar 27, 2011 #22 Sasa yeye dawa yake inatibu nini? Ni magonjwa sugu kama babu?
L Leornado JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 1,529 Reaction score 200 Mar 27, 2011 #23 Sasa dogo anatumia mti upi kutibu? Babu wa Loliondo yeye ndoto yake ni tangu 1991 na akazembea hadi alipokumbushwa mara kwa mara. Huyu dogo ndoto yake hata mwezi haina na isitoshe kaoteshwa na mganga wa kienyeji sio MUNGU, watanzani angalieni mtanyweshwa visivyonyweka. Yangu macho na masikio
Sasa dogo anatumia mti upi kutibu? Babu wa Loliondo yeye ndoto yake ni tangu 1991 na akazembea hadi alipokumbushwa mara kwa mara. Huyu dogo ndoto yake hata mwezi haina na isitoshe kaoteshwa na mganga wa kienyeji sio MUNGU, watanzani angalieni mtanyweshwa visivyonyweka. Yangu macho na masikio
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,842 Mar 27, 2011 #24 Hii kali,wapi mwanzo wapi mwisho... Jamaa wa rombo alisema atatokea mtu wa tatu,je ndo huyo dogo?
shanature JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,958 Reaction score 1,864 Mar 28, 2011 #25 :juggle:babu kijana,,,,,, siku za mwisho bado sana,,,,,,mh badoniponipo kwanza,sijazidiwa sana!!!
T tripojo Member Joined Jan 4, 2008 Posts 61 Reaction score 7 Mar 28, 2011 #26 Mie hivi karibuni nitatangaza dawa, nitakuwa naitoa kwa kijiko cha chai....unaruhusiwa kunywa mwisho mara mbili tu! Wabongo tuna mambo, na watatokea wengi manake watu wamegundua kumbe unaweza kupata sapoti ya wakuu wa nchi, ukala kiulaini....kaaaaaaz kweli kweli!
Mie hivi karibuni nitatangaza dawa, nitakuwa naitoa kwa kijiko cha chai....unaruhusiwa kunywa mwisho mara mbili tu! Wabongo tuna mambo, na watatokea wengi manake watu wamegundua kumbe unaweza kupata sapoti ya wakuu wa nchi, ukala kiulaini....kaaaaaaz kweli kweli!