Jamani mwenzenu Napendwa, ila

Nilikua nakutambulisha tu mpenzi wangu...
Mie love you sanaaaaa darling kissesss!!!

Abee mume wnagu watu8, am here darling, daddy dearest Nobel husbands prize winner
 
Last edited by a moderator:
[Ujue sio wanamme wote wananyanyasa wake zao? Ni baadhi tu

Ila sababu unampenda, basi kaa ukijua 'hiari yashinda utumwa'


Ila, umemsamehe sababu umeona haja ya kumsamehe au sababu ya vits?

Hapo va Vitz hata mimi pamenikoroga. Sasa ladyfurahia, hawa watu wataacha kweli kuendelea kututenda kama 'wakitubabua' na vitz tunasahau yote?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
lakini weweeeeee haya tu nakuangalia sana nyendo zako unaomba msamaha halafu unaendekeza oky nitavumilia vituko vyako ila sitakupa tena hukuuuu naniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mimisa, nataka kutulia na wewe..unasemaje sasa!??
 
nimewapata kwelikweli yaani fikra zenu mnafikiri ndoa tu haaaaaaaaaaaaa kwaaaaa kwaaaaaaaaaaa ni chitchat tu hapa kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…