wewe!
niliwai kukwambia siku moja!kama uwezi utani unawatania watu ya nini!
U ARE SICK!daaaaamn SICK UPSTAIRS!
hili sitaomba samahani kwa yeyote!
Msije mkatuletea senema ya sintah na mange. Leo nimeambiwa kuna sijui mrs mali benzokitugani sijui.
Haya jioni njema.
Wanaume watamu jamani!! muombee haendi tena nje ya ndoa atakuwa nawe tu!
si ndo na mi nashangaa alivokurukia!
amenibore kwa kweli!
mi najua we ulikuwa unamaanisa kichit chat!ye anakuattack personally!
umvunjie ndoa yake unamjua!ah!
Usemapo wa nini...wenzio wanajiuliza nitampata lini!??
Mungu awasamehe maana hamjui mlitendalo acha niwaache mie sitaki kuongea bure nikamkosea Mungu wakngu jioni hii nishindwe kulala na laaziizi wangu barafu wa moyo wangu Mentor
Unaposema tumelionaje hilo inamaanisha lipi! La kuwa serial cheater ama la kukununulia vitz?
Manake kwa serial cheater ili anifurahishe labda tuanzie kwenye fortuner kama sio kanissan patrol!
umeona en!aseme kabisa!
usije ukatupiwa kitu ca ncha kali bure!
Hata hammer au vogue is not enough for my feelings.
I give it for free, nikihongwa ajali kazini.
Kuishi na serial cheater anayeleta ndani unaweza jikuta umekuwa serial killer.
cc K...... LHahaha. Wee ndo hujui sasa. You serial kill in the name of self defence. Mume biashara mjini atii. Hujamuona da sophy kaja ana idupya anajisidia na mume wa mtu? Kuna mtu kasema 'ule peke yako kwani sumu hiyo'?.
Tushakubaliana cheating (both kwa mke na mume) inaboresha ndoa. Hehehe ndoano hoyeeeeee!
Hapa ntajua wasiolipenda pendo letu...
Hata nimebadili nimepata dili leo nitanunua Subaru i think ntakuachia ile Verossa yangu...haya waache sasa waseme!
Nashangaaaa shangaaaaa tu hapammmmh leo nimepitwa hii mechi ya Barcelona sijui nilikuwa wapi mie.................................:mmph:😛ray2:kumbe bradhaMentor kapata jiko.:coffee::coffee:
Nashangaaaa shangaaaaa tu hapa
aaaaaaaaaahhahaaah Mentor huyu huyu ndo mumeo?
unamjua mentor wewe???
alioa lini!???
manake umesema sio chit chat zso ni maisa ya kweli!
na mume ulikuwa unamtafuta juzi ilikuwaje????
aca kufanya watu mapoyoyo!
hizoi ndoa mnazoziota humu kila siku mngekuwa mnazo kweli basi!
nilikuuliza mapema tunachit chat au??ukasema ni real!kwa ureal upi?????????
WATU MNAOTA SANA MAISHA NA HISIA ZISO ZENU!fekerooooooo kwa kwenda mbele!
cc Mrembo by Nature, cacico gfsonwin Mentor na watu8
hata mie nashangaa shangaa,ngoja tushangae wote
Hata mimi nashangaa hapa
wote tukishangaa si ndo tutachanwa viwembe na vibaka:gossip::gossip: naona unatolewa mijicho pole shostito.