naomba uielezee mkuu chief
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
mpaka sasa hakuna information za kutosha ni huyo evleaks tu anatupa tupa kila wakati hii simu inategemewa kuwa hivi
1. kioo cha 2k ukubwa wa 5.2 inch
2. internal 32gb na ram 3gb
3. processor ya snapdragon 805 na adreno 4xx
4. battery ya 3400mah
5. kuna rumors ile technolojia ya kuchaji simu kwa jua kupitia kioo cha simu imefaa
6. kuna rumors itakuwa na 3d touch
hivyo vya juu unavijua labda nielezee hii ya solar na 3d touch
solar charging
ni muda mrefu sasa nokia anafanya research kuhusu simu ambayo utakua huichaji wewe bali inajichaji, namaanisha simu ambayo hata port ya kuchajia itakua haina na kufanikisha hilo moja ya karata yao wameitupa kwenye simu zinazojichaji na jua. na wao wakaona kuwa kwa kueka layer kwenye kioo cha simu wanaweza kufanikiwa hivyo layer ya solar charging ikawekwa lakini walishindwa kufanikisha kwenye research zao, mwaka jana mwishoni kukawa na rumors hii simu ya solar inakuja ila hatukuion na sasa hivi rumors zinarudi tena kuwa inakuja.
3d touch
hii nayo kama technology ya pureview nasikia miaka nenda miaka rudi ipo kwenye maabara za nokia lakini finally nayo itatoka. kuna baadhi ya patents nokia wamepewa kuhusu hii tech hivyo kidogo tukapata idea itakuwaje. in short utakuwa unaoperate simu bila kuigusa kama vile s4 lakini hii ya nokia itakuwa tofauti.
chukulia mfano huu una simu yako ya lumia ina tiles, ukipeleka kidole juu ya tiles kabla hujaigusa tiles itatikisika au itajizoom kidogo au itatoa ishara yoyote kuonyesha kuwa hii ndio tile unayo deal nayo. then kama tena unaiclick ile tile itachawanyika na kutoa menu kama ni tile ya video zitasambaa kwenye kioo then utachagua tena.
na ili kuifanya isiwe gimmick kama ya s4 kuna rumors pia kuwa kuna sdk yake kwenye wp8.1 itakayowafanya madeveloper waweze kuitumia ina maana utaweza fanya kwenye fb, twitter na apps nyengine.
mwisho zote hizo ni rumors zinaweza zitokee ama zisitokee muda utatuambia