Jamani mwenye uzoefu na Nokia Lumia

Jamani mwenye uzoefu na Nokia Lumia

kwa sasa tutaiita flagship sababu ndio ina specs kubwa na umbo linalokubalika na wote ila series wise ilitakiwa isiwe flagship.

930 ipo series ya 9xx ambayo ndio series ya flagship kama vile lumia 900 na 920 lakini mwaka jana mda kama huu ilitoka series kubwa zaid yaani 10xx series tukaiona lumia 1020 hivyo ki calendar by now kulitakiwa kuwe na flagship ya series hio.

pia wakati nokia wanazindua 1520 variant yake ya mtandao wa verizon marekan yaani lumia icon ilitoka. Ukiangalia lumia icon na 930 kila kitu kinafanana. Hivyo haiipi nguvu hii simu kuwa flagship.

kitu cha mwisho tunaongelea nokia hapa. Huwa akitoa flagship lazima itingishe dunia kwa innovation zisizoexit, nokia hajafanya hivyo since lumia 920, lumia 930 ina specs kubwa ila haina tofaut na sim za android specs kubwa bila uvumbuzi wa maana

Nokia nawakubali kwa innovations zake ndo mana naipigia chapuo kuwa moto wa kuotea mbali siku zijazo.
 
Just a matter of time... Lazima tuje download chakula nawaambia. Hii technologia inavienda hii...
 
Back
Top Bottom