Jamaa angeishia hapo ambapo demu ame feel guilt and then basi. Hii kumbelezana mwanamke anakudharauHalafu jamaa anakosea kubishana bishana nae anaongea saaaaaana km mtt wa kike ndio maana hcho kidemu kinajibu kinavyojiskia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawwzekana tunawaza pamoja manake hata huo mwandiko wao kama unafanana sana sina hakika kama ni watu wawili tofautiNimesoma mtiririko wa maongezi nikajua ni kishkaji flani kipo ghetto na program pendwa kwa jina "YAZZ" Kiki-fake maongezi.
Aliyeamini kama nilivyoamini basi ni mzee wa Coding Nampa hekko.
Aluyeshindwa kung'amua hili basi huyo hata utenguzi wa toto pendwa nao ataamini kama utatokea which is a total lie under a saint oath.
By!
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mate.Inawwzekana tunawaza pamoja manake hata huo mwandiko wao kama unafanana sana sina hakika kama ni watu wawili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaMtu alichukua hela ya ada kaenda kumpa mwanamke, alimnunulia iPhone, na vitu vingine vingi... Halafu kaja kugongewa na a guy alietambulishwa kama cousin.
Investing so much of your time, money and other resources kwa mwanamke ambae haeleweki, lazima uumie tu
Saw this somewhere and I thought I should share.
View attachment 851890
View attachment 851896
View attachment 851895
View attachment 851899
View attachment 851903
View attachment 851906
View attachment 851908
View attachment 851909