Jamani msaada tafadhali!

Jamani msaada tafadhali!

hapana wewe ndo haujajifunza kusoma post

Mwanafunzi akifeli lawama anampa ticha eti hajui kufundisha wakati students wengine wamefaulu na ticha ni huyo huyo mmoja.

Sasa sjui lawama ni kwa ticha au denti, me don't know !!.


Cc jamshidamri
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni mamaaa pal mamaa la kitanga ewe ulioeka picha je umechukua idhini yake?
 
Back
Top Bottom