Jamani msaada, ninakufa

Nidawa gani ya Kienyeji ya Fangasi uliotumia Sis???
Tusaidie nasi wenye tatizo kama lako plizzz.
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
 
hii clinic ipo wapi? Na bei zao zikoje?


mkuu hii clinic ipo mikoa kama dar, mwanza na hapa arusha pia sasa kwakuwa mimi niko arusha ilikuwa rahisi sana kwangu kwenda hapo, ila bei zao ziko juu sana na kwakuwa nilikuwa na shida ilibidi nijitahid tu hivyo hivyo mpaka nikapona ila namshukuru mungu sana nimepona namshukuru sana mungu na pia niliomba sana mungu akanisikia kwakuwa ni muweza na hashindwi na lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom