Baba Jadecah
Member
- Apr 17, 2019
- 37
- 22
Hii kitu inaitwa WIN RAR au zip ni nini?
naomba mwenye uelewa anidadavulie maana nimeinstall biblia kwenye pc yangu sasa kuifungua imekuja kwenye mfumo wa zip hapo sasa sielewe kitu kabisaa jinsi ya kuifungua, naombeni msaada au kama kuna link ya maelezo pia itasaidia.
Nimewasilisha wakuu