jamani msaada. Nakufa kwa sababu ya meseji hii.

jamani msaada. Nakufa kwa sababu ya meseji hii.

Kashindi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
349
Reaction score
250
jamani baada ya kuwa nae kwa muda mrefu nimejiroga kuchungulia kwenye inbox ya simu ya mpenzi wangu na kukuta ujumbe huu.
Nimeutafakri na na kujikuta sina hata uwezo wa kuandika meseji ya aina hiyooo. Uuuwiiiii kumbe mapenzi ujanja.. Nalia miyee.
"seriously I real like u, and for sure I'm real interested to b with u.
I see u as the source of my happiness...
Plz plz do not turn this down.
I can see the hope in u and
I promise to make u happy for all the time u will be with me. u will never regret bng with me.
I real need ur presence.
xxxxx"
sijui nifanye nini???
 
Hahahahahah ww ulifikiri mapenzi mazoea?
 
^^
Inataka moyo kuvumilia mahusiano ya aina hii !!
Your PLAN B kwake..
Amua mwenyewe kumuacha au kuwa nae
^^
 
kama ni mwanaume, basi ni kibinti kilikuwa kinajigonga kwa mpenziwako na kama ni m,ke vivo hivyo! wala usipanik muulize
 
Vunja ukimya, uclee ugonjwa utakuua best

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
jamani baada ya kuwa nae kwa muda mrefu nimejiroga kuchungulia kwenye inbox ya simu ya mpenzi wangu na kukuta ujumbe huu.
Nimeutafakri na na kujikuta sina hata uwezo wa kuandika meseji ya aina hiyooo. Uuuwiiiii kumbe mapenzi ujanja.. Nalia miyee.
"seriously I real like u, and for sure I'm real interested to b with u.
I see u as the source of my happiness...
Plz plz do not turn this down.
I can see the hope in u and
I promise to make u happy for all the time u will be with me. u will never regret bng with me.
I real need ur presence.
xxxxx"
sijui nifanye nini???
kama, huyomwenye simu ni demu,basi jua tu ni vitu vya kawaida,jamaa anatongoza tu,si unajua wenzetu kutongozwa ni kawaida alafu na sisi kwa mbwembwe na kujinadi ndio kama tunagombea ubunge,jamaa ilikuwa anajinadi tu mbele ya mpiga kura.
labda kama mpenzi wako amekubali na umeona ushahidi,lakini hili lisikupe tabu,wala usimuulize,mana kila siku wanatongozwa hawa,wanaume wanajinadi mpaka kwa mke wa obama.
 
"Futa delete kabisa"
Anyway I am not playing with your feelings I know how it hurts. Mtu uliyempenda na kumwamini unakuja kugundua sio mwaminifu inauma hasa. Nakupa pole sana. Wewe kwanza muulize ingawa najua atajibaraguza kuwa "ninashangaa kutumiwa ujumbe wa mamna hiyo na mtu nisiye na uhusiano naye nataka nionane naye uso kwa uso nimpe vipande vyake."...blah blah blah
.Lakini cha msingi anakucheat huo ndio ukweli. Kaa naye mzungumze akikiri na kuomba msamaha usikilize moyo wako kama uko tayari kumsamehe au la. Vyovyote iwavyo kwa kweli hapo alarm imeishagonga. Fanya maamuzi magumu ikibidi usingoje kuachwa maumivu yatakuwa squared.
 
Issue kama hiyo huwa haifai kuuliza zaidi ya kuyafanyia kazi yale yote ambayo unahisi hukuwa unayakamilisha kwa kiwango kizuri .
 
Watu wamekariri unene unaleta kisukari!sasa nawaambieni mambo kama haya ni hatari zaidi na ukiyaweka moyoni tu ujue si kisukari tu bali unaweza kupata hata kiharusi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
jamani baada ya kuwa nae kwa muda mrefu nimejiroga kuchungulia kwenye inbox ya simu ya mpenzi wangu na kukuta ujumbe huu.
Nimeutafakri na na kujikuta sina hata uwezo wa kuandika meseji ya aina hiyooo. Uuuwiiiii kumbe mapenzi ujanja.. Nalia miyee.
"seriously I real like u, and for sure I'm real interested to b with u.
I see u as the source of my happiness...
Plz plz do not turn this down.
I can see the hope in u and
I promise to make u happy for all the time u will be with me. u will never regret bng with me.
I real need ur presence.
xxxxx"
sijui nifanye nini???

kwa hiyo unahisi nini labda
 
Kaka huo mtongozo bdo bt kwa hyo txt inaonesha jamaa ana asilimia kubwa ya kupewa nafasi
 
Mimi sijaona tatzo na hiyo meseji hapo jamaa anajaribu bahati yake kwa bidada,kumbuka mwanamke awaye yeyote kutongozwa haaikwepeki hata awe na status gani cha msingi ni kumuamini mpenzi wako tu ila kama kuna kutoelewana na mpenzi wako yaweke mambo sawa maana haoy maneno laini yanaweza yakamnyakuwa ukabaki unang'aa sharubu.......Ushuri wangu tu kukagua simu ya mpenzi wako siyo vizuri ili mradi unamuamini hakuna haja ya kukagua simu yake maana unaweza kufa kwa presha siku si zako na kumfikiria vibaya mpenzi wako
 
Ni kosa kubwa sana kukagua SMS za mpenz wako' hayo umeyataka mwenyewe
 
Back
Top Bottom