Jamani msaada kwa hii kitu

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,557
Kama wewe unaifahamu hii kitu na matumizi//madhara yake kutokana na vitu vilivyomo (madini) kwenye hiyo kitu mfano kuna kitu kama mkaa, mawe, mbegu za mlonge nk, hebu mnijuze faida na hasara zake…!
 

Attachments

  • 1418023477854.jpg
    39.7 KB · Views: 822
Chief Kwani Hiyo Ni Nini?
Ahsante
Jigo
 
Chief Kwani Hiyo Ni Nini?
Ahsante
Jigo


Hii kitu inatumika kusafisha maji kuondoa takataka zilizomo na kuyafanya yaweze kunyweka bila wadudu au chemical zozote, wao wanaiita SUNBEAM:_ WATER MINERAL POT.
 
Hii kitu inatumika kusafisha maji kuondoa takataka zilizomo na kuyafanya yaweze kunyweka bila wadudu au chemical zozote, wao wanaiita SUNBEAM:_ WATER MINERAL POT.
Inauzwa wapi na sh. Ngapi?
 
Iyo kitu kizungu huitwa water filter kaz yake kuchuja maji, ukiifungua ndani utakuta mawe madogomasogo ya mtoni dizain ya mchanga na ngazi ya pili n makubwa kidogo dizain ya kokoto na ya mwisho ni bonge la udongo kama wa chokaa, mengine huwa na ngazi had I nne zikitofautishwa na saizi ya mawe, kiutalaam kila baada ya mda was miez 3 unatakiwa kuisadisha.
 
Mbinde,
Hebu tusaidiane asee, haina madhara yoyote yatokanayo na matumizi au uto tuvitu ulivotaja?

 
Kazi yake ni kusafisha na kutowa harufu ya chlorine ( madawa yanayo wekwa kweye maji ) nijuavyo ni salama kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…