Jamani mpo?

isjiah

New Member
Mar 9, 2011
3
1
mimi ni mtu mzuma mwenzenu nipokeeni kwenye jukwaa la madavidavi na majambozi nimepatataabu kujiunga na leo nimefanikiwa nipeni raha ,wana sema chokochoko mchokoe pweza
na wnasema KAMA MVUVI VUA USICHEZE NA MASHUA
 
karibu mzee naona umeanza na mambo ya pwani..
 
mimi ni mtu mzuma mwenzenu nipokeeni kwenye jukwaa la madavidavi na majambozi nimepatataabu kujiunga na leo nimefanikiwa nipeni raha ,wana sema chokochoko mchokoe pweza
na wnasema KAMA MVUVI VUA USICHEZE NA MASHUA

karibu ndugu!!

ila mie sijaelewa huko kwenye red!! na niraha gani unazozitaka weye?????, na hizo chokochoko ndugu unamchokoa nani?
 
Ukitaka raha utapewa, tumezaliwa kwa ajili ya kupeana raha, wengine wanaiita raha utamuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom