dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,681
- 18,586
Ulimnyonya?
Kumbe ndio zake Bora umenishtuawewe unamatatizo wewe sio bure thread kumi ndani ya dakika moja.
Naomba namba Yako plz siku uje home nitakusadia na dawa nzuri sanaJamani wanawake mkuje Mara moja.
Niko na mahusiano na Mwanaume mmoja mwezi wa sita now ila hatukuwahi kufanya chochote...
Wewe ndo ibrahim ambokile?wewe unamatatizo sio bure thread kumi ndani ya dakika moja.
si akafue hata nguo zake 😂😂Jamani mtafutieni huyu kazi ya kufanya aache kujiendekeza humu
Si unaona vijana wanahangaika kumuita PM wampatie kazi 😅Jamani mtafutieni huyu kazi ya kufanya aache kujiendekeza humu
Hivi kwann nyie wanawake mkitupa haki yetu mnapenda kusema mmetuonea huruma.nikasema ngoja nimtunuku kwa kumhurumia mpenzi wangu.
Wewe ndo ibrahim ambokile?
Huyu ana-idle Sana Hana shughuli ya kufanya ndo maana anashusha nyuzi kila dakikasi akafue hata nguo zake 😂😂
Jamani wanawake mkuje Mara moja.
Niko na mahusiano na Mwanaume mmoja mwezi wa sita now ila hatukuwahi kufanya chochote.
Wiki iliyoisha baada ya kumpa ahadi nyingi mpenzi wangu ,nikasema ngoja nimtunuku kwa kumhurumia mpenzi wangu.
Jamani kilichonikuta moyo wangu umeumia sana mambo ni mengi, kufupisha story tulipofika room jamani maskini mkaka wa watu ameshidwa babu kusimama.
Nimetumia mbinu zote imeshindikana.
Nimeshindwa kuandika mengi .
Ila nimejiuliza inakuaje Mwanaume una kila aina ya ugentlemen ila babu ndo asimami jamani
Hapo kwenye mbinu zote hapo..... unaweza kuzifafanua ili shetani ajue kama umeshakuwa mkubwa??Jamani kilichonikuta moyo wangu umeumia sana mambo ni mengi, kufupisha story tulipofika room jamani maskini mkaka wa watu ameshidwa babu kusimama.
Nimetumia mbinu zote imeshindikana.
Nimeshindwa kuandika mengi .
Ila nimejiuliza inakuaje Mwanaume una kila aina ya ugentlemen ila babu ndo asimami jamani