Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,531
- 94,727
😅😅Hivi kwann nyie wanawake mkitupa haki yetu mnapenda kusema mmetuonea huruma.
Hii kitu sijawahi elewaga, kwaio sisi kila siku mnatuonea huruma sio?? unakuta demu anakula kwako, hela ya vocha unampa, matatizo ya hapa na pale unamsaidia, alaf akikupa haki yako anasema amekuona huruma, kivipi?
Demi Donatila naombeni mnisaidie aisee, kama hamna majibu waiteni wenzenu.
Ni kwasababu tangu zamani iliaminika kwamba kile kiungo chetu ni cha thamani, kuamua kumpa mtu means umemthamini sana ndo maana huwa tunaona kama vile ni zawadi tunatoa.
Ingawa siku hizi haichukuliwi hivyo tena naona. Watu wanagawa tuuuuu

mwamba apate utamu na yeye