Jamani Moyo

Joined
Feb 16, 2014
Posts
67
Reaction score
31
inaumiza sana mtu unapompenda akakuletea dharau..leo nina hasira jamani nimeishia kulia tu..najiuliza mpka lini hii hali.,a bleeding heart.!ni kosa mtu akijua unampenda
 
inaumiza sana mtu unapompenda akakuletea dharau..leo nina hasira jamani nimeishia kulia tu..najiuliza mpka lini hii hali.,a bleeding heart.!ni kosa mtu akijua unampenda

Siyo kosa yeye kujua unampenda akielewa maana ya pendo ataacha anachofanya
 
mfanye asigundue kuwa unampenda,

mchukulie easy tu kama vitu vingine,

mpende kirahisi rahisi ili ubakize pa kupoozea siku ukiumizwa!

weekend njema people!
 
Sijui nikupe pole, sijui niseme amekuwahi kushambulia wakat hujajipanga ...
Aagrrrr kaz kweli kweli
 
Pole sana mamy..ila kuna watu hawajui thamani ya upendo kabisa..pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…