kabintispecial
Member
- Feb 16, 2014
- 67
- 31
inaumiza sana mtu unapompenda akakuletea dharau..leo nina hasira jamani nimeishia kulia tu..najiuliza mpka lini hii hali.,a bleeding heart.!ni kosa mtu akijua unampenda

ww ndo nani vile?
Kazi ya moyo ni kusukuma damu. Hayo ya kupenda unautwisha moyo wako mzigo tu, uta-rip!
Jipende mwenyewee banaaa