Jamani Morogoro oooh! Maji yanatiririka Morogoro ohooo!

Jamani Morogoro oooh! Maji yanatiririka Morogoro ohooo!

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,421
Reaction score
864
Amani kwenu wadau,

Baada ya safari yangu ya kwenda Mombasa Kenya kuchukua nazi za biashara iliishia pale sokoni kuu la Morogoro nilishusha mzigo kwenye fusso nikamkabidhi tajiri ili anipatie pesa basi kulingana niliingia usiku yule tajiri akaniambia nisubiri pale kwa siku moja siku inayofuata kuna mtu anatoka Dodoma ataleta pesa.

Nikamkubalia ikabidi nitoke kidogo eneo la nje ya soko ili nikachukue hotel lakini nikahisi kidogo tumbo limepatwa na ubaridi linahitaji kushtuliwa nikaingia kwenye mgahawa nikapata chai,baada ya pale nikatoka nje kuna jamaa anachoma mishkaki.

Nikamuuliza kama anaweza kuniambia hotel ya bei ya katiNakaniekeleza nikafika hotel nikaingia nikapewa chumba nikaamua kurudi pale sokoni kwa mwenyeji wangu nikakaa pale nikaamua kurudi kule hotel sasa wakati natoka nikakutana na dada wa makamo kidogo amejufunika ushungi nikasalimiana nae tukaongozana nikamdadisi akaniambia yeye ni mzaliwa wa Morogoro na anaishi mtaa wa Mlapakolo.

Akaniambia hana mume, waliachana kisa mume alioa mke mwingine bila taarifa na yeye ukewenza hautaki, basi nikamualika hotel niliopo akasema anaijua na atafika ila kunako majira ya saa mbili usiku. Nikajitupa kitandani kutokana na uchovu wa kule shamba na gari kuja kushituka ni saa moja usiku

Nikaingia bafu nikamwaga nikatoka kupata msosi nikarudi ndani huku natupia macho kwenye luninga, ilipofika kama mbili na dakika tano nikasikia mlango unagongwa, kufungua ni muhudumu wa mapokezi kuna mgeni wako nikamwambia amruhusu aje basi akaja mkononi amebeba mfuko na chupa ya chai, tukaulizana habari akachojoa nguo zake za juu akatundika juu.

Akasema nimekuletea chakula nikamwambi mbona nimeishakula akaniambia aah labda unaogopa nimekutegea sumu au uchawi na mimi pia sijakula tule wote sikutaka kumbwaga nikala kiudhushi.

Sasa sikuona ile chupa ya chai kutumiwa na mimi sikuuliza baada ya hapo akapiga mswaki tukaendelea na stori mbili tatu tukaanguka kitandani nilipochomoa kunako papuch si ndio namuona bibie amechukua mkoba wake ametoa kijitaulo na amechukua ile chupa sasa nikajiuliza hii chai ilitakiwa kabla ya kuingia kwenye mtanange kutokana na kiubaridi ninywe lakini haya wacha nione.

Akaniambia lala chali nikatii achukua ile chupa ya chai akamimina kwenye kitambaa naona ni maji akanifuta mpongo na huku anaukanda duuh chaji ipo ipo pale pale akafanya ile kazi kwa ustadi mkubwa mpaka akaridhika akapanda tena kwa ngwe ya pili tukaendelea kwa mtindo huo huo mpaka asubuhi duuh ni hatari. Mapenzi dizaini ile ni hatari nawasii vijana muwe makini na mapenzi yale huwezi yapata kwa umri wa 25 more 30 ni kiboko, kila nikikumbuka morogoro nako hakujambo.
 
Nitazamieni Joseverest asinidake kwenye nafasi yake pendwa

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
hatari!hisia ni kitu kingine!hongera!basi nashauri UOE !
 
Mtaa wa Mlapakolo. Kifupi tu. MLAPAKOLO ni koo kongwe Mjini Morogoro. Ni koo iliowahi kutoa mchezaji wa TAIFA STARS katika kizazi cha akina Gibson Sembuli, Adam Sabu, Juma Shaban, Mnyepe baadae wakafuatiwa na Mogella, Malota Sahau, Mwanamtwa, Magoso, pamoja na Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najeuri yangu yote hii na kupenda ngono ila hapana cjawahi na wala sifikirii kukutana na MTU njiani na kumfanya baby kwa ajili ya pumziko nina 33 yrs now but cjawahi na hapana aiseee.
Ni bora kuimport unayemfahamu kwani hapo achilia mbali ngoma kuambikizana bali kuna risk kubwa ya kutapeliwa au korogwa au kurawitiwa au namna yoyote ile mbaya.
Unamtongoza njiani kumbe anajinsia mbili na ile ya kiume ndio inayofanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom