
- Joined
- Sep 10, 2011
- Messages
- 84
- Likes
- 17
- Points
- 15
- Age
- 32

angomwile
Member
Joined
Sep 10, 2011



Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?