jamani mke wangu analala vibaya sana!!

Mimi madhani labda ulitaka kutuchekesha tu hapa jukwaani. Watu wanalalamika kupigiwa wewe unalalamika kulala vibaya!!!
 
Mhhhhhhhhhhhhh! YA LEO KALI!!!!!!! Mpe valium kidogoo au priton kabla hajalaa, AKILALA KAMA MFU, hata sense ya kurusha mguu hatokuwa nayo.

Sasa atakuwa anapewa valium kila siku ? Inaweza ikamsababisha akawa addicted.
 
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!
ha!ha! ha! anakuziba kupumua!
 
Kuna vituko jamani! Sasa mimi wangu akilala mkono wake lazima utulie kwenye matiti yangu au kiunoni mwangu. Lazima ashike kimoja kati ya hivyo ndipo alale!

nina sababu kuntu ya iuipa hii post yako like,kwanza sijui nikuandalie kashata za kungu, lol!
 
ndo mapungufu yake,tena shukuru!wengine wanalia wenzao wanatoka nje ya ndoa,mara sijui nni...
 
Jamani hii jf kweli burudani wakati wengine wanalalamika wake zao vicheche, hawatulii, walevi, hawalai nyumbani, washirikina, wambea, washari, hawajui mavituuuz, wababe mateja huku wengine wanatafuta dawa ya wake zao kulala vizuri...mfunge kamba hahaha
 
ni mimba tu inamsumbua...the baby kicking and all that usiku unakuwaga mrefuuu. akizaa ataacha, kama hataacha basi ana ishu nyingine tofauti
 
Nimejikuta nacheka tu mwenyewe..
Hizo style zake zinatisha ...akiamka lazima awe amechoka
 
hahahaaaaaaaaaa, jamani mie mbavu zangu. ameshajifungua au bado maana kuna baadhi ya mimba ukilala hivi unasikia unaumia unageukia kula nako vilevile unaumia, kama bado mjamazito akishajifungua ataacha ni matatizo ya muda hayo. ila kama alishajifungua bado anafanya hivyo ni hatari hata kwa mtoto kama analala nae anaweza kumlalia mtoto.
 
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! umenichekesha sana, Ngoja nikwambie leo ukirudi wakati wa kulala mkumbatie muwekee mguu wako kwenye paja lake.

pili mfundishe kulala ubavu , akishazoea tu utakuwa umemaliza tatizo

Ila pole sana maana naona kama huwa unakesha badala ya kulala kwa kuhofia kupigwa mateke.
 
Back
Top Bottom