jamani mke wangu analala vibaya sana!!

jamani mke wangu analala vibaya sana!!

  • :confused2: :confused2: :confused2: :confused2: :becky: :becky:

 
Ndio maana kipindi cha uchumba alikuwa hataki kuja kulala kwako.
 
Nipe namba ya huyo mke nimshauri, anahitaji ushauri wa kisaikolojia.

By the way, kama ana mimba, anatafuta pozi la kupunguza maumivu. Hali anayojisikia mama mja mzito ni zaidi ya maumivu ya tumbo la kawaida. Ukikaa hivi havikaliki, vile havikaliki.
 
Hili ni tatizo kwako ingawa inaweza kuwa si tatizo kwa wengine,malezi yanatofautiana na hapo ndipo uvumilivu unapotakiwa hasa kama mmefunga ndoa,bado kuna namna ya kunchunguza mwenza huyo na kujua ni namna gani anafikia kufanya hivyo maana inawezekana akawa anapata ndoto mbaya usiku zinazomfanya ashindwe kulala vizuri aua ana tatizo la kukumbuka mambo ambayo ameyashuhudia siku zilizopita na akilala tu bado ubongo unapata wasaa wa kuyapitia na ndipo anapofanya hayo.
Kumbuka kuwa tabia hiyo si rahisi kuibadilisha na yafaa kukutana na wataalamu wa mambo ya saikolojia ambao wanaweza kuchambua na kutatua tatizo hilo.
 
hahahaaaa!!! kumbe kuna umuhimu wa kulala pamoja kabla ya kufunga ndoa ili kufahamu matatizo ya mwenzi wako lol!!!!

hujambo bidada????
nipo my dear! bado natafakari huo mlalo wa mwanamke mwenzetu, mpaka mumewe kumfungulia thread, lolest!
 
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..that good!

Mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

Nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

Miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? Ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

Story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!



au ujauzito una msumbua nin?
 
angalieni tu asiue mtoto mkatuletea stori huku mama amemlalia mtoto na kumuua ntaua mtu kwa kweli
 
Mwachie kitanda wewe hamia chini kwenye mkeka
 
Atakuwa hamkolezi eti, mwanamke ukimkoleza kisawasawa lazima atalala kwa utulivu ajabu eti. Mweleze jamaa yako ajitahidi kumkoleza akimfikisha mara mbili hivi kabla ya kulala, wakilala saa nne makeke yataanza 11 au 12 kukiwa kumekucha.


Nothing more....nothing less.............
 
Huyo ananifa mimi, dawa yake ni kumgonga ngozi usiku kucha, kila akinipandishia mguu mimi napanda juu ya kifua halafu namgonga mpaka ahame kitanda na kwenda kulala kwenye makochi.
Fanya hivyo, lazima atatulia maana baada ya dozi atalala usingizi wa porn.
Kweli hii ni dawa tosha,ukipiga k ipasavyo ukamfisha anapotaka yeye, atalala usingizi mnono
 
Dawa pekeeeeeeee tafuta kitanda 8*8 bhasiiiiiii matatizo yataisha. achana na vitanda vya shule. Kazi kweli kweli.
 
kama nimesoma vizuri, nahisi ni kwa sababu ya mimba, mimba huwa zinakuja na vituko kila dizaini. So jitahidi tu, kumbemebeleza, mpaka ajifungue, kwani atakapopata mtoto unafikiri atalala hivyo?hawezi!maana mtoto atakosa pumzi!
 
Back
Top Bottom