jamani mke wangu analala vibaya sana!!

jamani mke wangu analala vibaya sana!!

mbona hiyo poa tu,

wenzio wanapigwa vichwa, mateke, ngumi usiku.

Kuna mjomba wangu mke alilazimika kuhama kitanda (anko akipata usingizi) coz kila siku anaamka asubuhi kavimba manundu kisa kapigwa ngumi usiku,
anko akiulizwa anakana.
 
Jamani kuna haja ya kurudisha jando na unyago! siri za vyumbani watu wanazitangaza public!! tuna matatizo gani hiki kizazi chetu?
 
story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!
natamani mhusika mwenyewe ndie alete tatizo lake lakini ili linaloletwa na third party napata kigugumizi kutoa ushauri, au wewe mwenyewe ndie mhusika??
 
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!

Mkonowapaka you made my day!!!!!!!!!!!! nimecheka sana. Naomba uwe unatu-uptodate kuhusu hii issue pls
 
Atakuwa kalelewa kwenye familia ya kipekee ndio maana hajui kujibana yaan hajui kulala na mtu kashazoea kitanda cha peke yake wala si ugonjwa.
 
Hazikutoshi wewe tena ni gek kabisaa... Hilo ndio umeona la kulileta hapa... mpe kitanda cha peke yake Kama unaona usumbufu...
'Mungu Baba Mwenyezi Muumba
Mbingu Na Dunia
Nakushukuru Kwa Wema Na Mapenzi Yako Kwangu'

Yaani kwa maneno mazuri ya signature yako hapo juu, unamshauri mwenzako ajitenganishe na mkewe kwa kitanda? Si ni maneno kama hayo kwenye kitabu kimojapo cha imani yamesema "alichounganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe?"

wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!

Ni vizuri mkiwa mnasali pamoja before kulala
 
Atakuwa hamkolezi eti, mwanamke ukimkoleza kisawasawa lazima atalala kwa utulivu ajabu eti. Mweleze jamaa yako ajitahidi kumkoleza akimfikisha mara mbili hivi kabla ya kulala, wakilala saa nne makeke yataanza 11 au 12 kukiwa kumekucha.

umenifilisi Mkuu! Na kama anaupungufu pasi atafute mkuyati.

Mara mbili kidogo, minimum mara 4, au kumkomesha alale kifuani kwake kabisa aone atamzibaje pumzi!
 
Mhhhhhhhhhhhhh! YA LEO KALI!!!!!!! Mpe valium kidogoo au priton kabla hajalaa, AKILALA KAMA MFU, hata sense ya kurusha mguu hatokuwa nayo.

Umenichekeshaje huku! Umenikumbusha movie ya "death at the funeral" uncle russel alipewa chupa nzima ili watu watafute mtoto hahahahahahahha chezea kitu cha vallium
 
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!

Hawa ndo wanaoleta,
1. mke wangu anajamba sana usiku
2. House girl ni mzuri zaidi ya mke wangu n.k

Great thinkers, jamani kuna mambo mengine si yakuleta humu! Shauri yenu kuna siku mitambo ya JF itagoma na kuexpose majina yenu halisi na umma kuwafahamu wote!
We have to be serious kwa mambo yetu ya ndani na wapendwa wetu jamani! Make siku moja mtakuja mnasema mke 'wangu anayo ya ajabu hadi inaniogopesha', shauri yenu!?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!

Pengine hayo yote yanasababishwa na mimba uliyempachika mwenyeeeewwe. Wewe vumilia tu maana atakuwa normal baada ya kukuletea baby. Kumbuka sana semi hizi "mvumilivu hula mbivu "na "Ukimpenda mmakonde lazima uipende na ndonya yake". Hivyo kazi ni kwako
 
Back
Top Bottom