jamani mke wangu analala vibaya sana!!

jamani mke wangu analala vibaya sana!!

mweke sehem ya kuinglia,co ukutan ili akidondoka atakuwa analala kwa machale.hyo inatokana na kulala kama amekufa
 
hahaaaahaaaaaaaaaaa! kwani wanaishi mkoa gani?
kama ni dar (kama kwingine nyumba yenu haina hewa) hiyo ni joto tu tafuta nyumba yenye hewa ya kutosha!
 
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!

mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na usiku nililazimika kumrudisha kwao.hatukua mbali saana!

nikatangaza ndoa,tukaoana akiwa mjamzito.!!...tabu ikaanzia hapo!!mama usiku hatulii utadhani anakimbizwa..

miguu inarushwa mithili ya leba...;mara umkute kanilalia;mara miguu yote ipo juu yangu;mara mikono nimezibwa kupumua..nikajiuliza ana pepo au? ebu nisaidieni kuna dawa ya hii makitu?am so down jamani..ukimuangalia day time kalivyo descent and so loving mama huwez amini usiku anavyojiachia.....akiamka kachokaaa>>,,,niliwahi kumwambia kwa upole ila ndio kilema chake....nifanyeje wapendwaa...........

story hii ya ukweli ni kwa niaba ya jama yangu mmoja jirani yangu!!

Baada ya kutoa maneno hayo matatu hapo juu kwenye RED,sasa unataka tukwambie nini...............?
Mi sioni kama ni busara mambo ya chumbani kuanika barabarani,sijui ni utoto au ndio kukosa JANDO NA UNYAGO.....?
..................mi nasikia KERO mwenzenu kwa mada kama hizi......ukishindwa kumsitiri MKEO utamsitiri nani basi?

Wanaume nanyie mmezidi.......................khaaaa???????
 
Kwanza na kupa hongera kwa kuwa umekuwa msemaji wa rafiki yako, hivyo nimeshangazwa kwa kiasi gani unavyo muelezea shemeji yako is like kama unamsaidia rafiki yako well mimi sitaki kukugombanisha na rafiki yako ila napenda kukusaidia mawazo.

Je wajua kuwa ulemavu si ugonjwa? pia wajua kwamba huwezi mlaumu Mungu kwa kule kuumba kwake? well na fikiri umesha weza kukiri kama huyo shem wako huo ndio ulemavu wake, yani kulala moaka kutojitambua hakuna lakuweza kumsaidia kwani ulemavu si ugonjwa ni maumbile Mungu anakuwa amempa kila binaadamu na wanyama hata wadudu nk.
 
nunua mikanda, akisha lala mkaze kitandani kwa hiyo mishipi
Au ana kifafa! Aonwe na wataalam wa akili.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom