jamani mke wa m2

fimbombaya

Member
Apr 11, 2011
47
12
heshima kwenu jf!naomba mnisaidie kujinasua kwani kwa juhudi zangu nimeshindwa.mwenzenu nimejikuta nikiangukia ktk mtego wa mapenzi na mke wa m2 baada ya vishawishi vyake vya mda mrefu, hata kufikia hatua ya kutaka kuondoka kwa mumewe kwa madai kuwa ana ujauzito ambao anadai mi nimehusika akidai nikaishi nae kwe2.jamani ushauri na uzoefu wenu utumike kunisaidia.
 
Pole sana,
achana kabisa na mke wa mtu tena kimbia sana hata nyuma usiangalie la sivyo yatakukuta kama aliyosimulia leo maty leo,
soma thread ya leo imeandikwa kufumaniwa
naamini utaelewa knn nakwambia kimbia sana na nyuma usiangalie.
 
pole kwa upumbavu wako...

Just wait uone tamu wa kula hiyo ndito aisee
 
Mpigie simu mumewe umwambie kuwa mkewe si lolote na si chochote bali ni kicheche mtu.
 
Mbona umechelewa kuomba ushauri? Muda mzuri wa kutuomba ushauri ulikuwa ni ule wakati wa vishawishi vyake. Saivi yamekorogeka ndo unakuja. Tuanzia wapi? Tukiyaacha yatuliye yatachujika vizuri ila kwa yalivyo sasa, tukiyachuja yataingia na vumbi...
 
Mh!mke wa m2 sumu kijana,acha acha acha kabisa,mtoe kabisa akilini,ona aibu,heshimu ndoa ya m2!laana hiyo.pole sana
 
Unajifanya mjanja KUTAFUNA WAKE ZA WATU EEH?

Ngoja jamaa akuendee Kogoma huyu jogoo wako atageuka KIDAGAA cha kigoma.

Yaani wanawake walivyojaa hadi wa akiba wewe unaamua kutafuna vilivyotengezwa.

mimi nikikukamata, nakata kotodani moja na kichwa cha jogoo wako, naweka babique na kukupa utafune k*****babako.

Unaona stareheeee, ngoma ikinasa hata kikombe cha babu hakitakusaidia.

usifikiri sifa kutafuna wake za watu, je wako AKITAFUNWA utafurahi.

mtu km wewe ukikamatwa naweka watu km 15 wakupumulie kisogoni kwa muda wa masaa 24 ndio wakuachie
 
kama una mke au girl friend, jitahidi umwambie kwa maana kwamba agundue kuwa unasumbuliwa na mke wa mtu, then afanye kama kumtishia kuwa anainglia mahusiano yenu, na amtishe kuwa atamshitaki kwa mumewe; pole na koma kutongoza wake za watu.
 
kasome thread yangu halafu uchuje faida na hasara then uchukue hatua. wanawake single walivyojaa we unaenda kubeba cha mtu nikifikiria kinachoweza kukupata naziba macho
 
huyu bwana ndio kaingia leo JF afu anakuja na hoja ya kutembea na mke wa mtu,nadhani mombasa ndio panamfaaa kuishi au zanzibar.NASEMA HIVI JF HAPAKUFAI LABDA UBADILIKE.TUNATAKA MAMBO YA KUJENGANA SI KUIBA WAKE ZA WATU
 
Unajifanya mjanja KUTAFUNA WAKE ZA WATU EEH?

Ngoja jamaa akuendee Kogoma huyu jogoo wako atageuka KIDAGAA cha kigoma.

Yaani wanawake walivyojaa hadi wa akiba wewe unaamua kutafuna vilivyotengezwa.

mimi nikikukamata, nakata kotodani moja na kichwa cha jogoo wako, naweka babique na kukupa utafune k*****babako.

Unaona stareheeee, ngoma ikinasa hata kikombe cha babu hakitakusaidia.

usifikiri sifa kutafuna wake za watu, je wako AKITAFUNWA utafurahi.

mtu km wewe ukikamatwa naweka watu km 15 wakupumulie kisogoni kwa muda wa masaa 24 ndio wakuachie

jipu hilo limepasuka!
 
Pole sana ila msiba wa kujitakia hauna kilio...wahenga walisema pia mimi nasema ukiomba utendewe haki basi uje na mikono misafi nikiwa na maana jitakase kwanza ndo utakaswe. Achana na mke wa mtu ni sumu pili usubiri ujue kama kweli huyo mtoto atakayezaliwa ni wako au la tatu umwambie mumewe kwamba mkewe anatoka nje ya ndoa na wewe na unaomba samahani. Si lazima muonane ila waweza weka mipango ya kumpa habari
 
heshima kwenu jf!naomba mnisaidie kujinasua kwani kwa juhudi zangu nimeshindwa.mwenzenu nimejikuta nikiangukia ktk mtego wa mapenzi na mke wa m2 baada ya vishawishi vyake vya mda mrefu, hata kufikia hatua ya kutaka kuondoka kwa mumewe kwa madai kuwa ana ujauzito ambao anadai mi nimehusika akidai nikaishi nae kwe2.jamani ushauri na uzoefu wenu utumike kunisaidia.
Suburi mpaka hapo mwenye mali atakapokuvunjia yai vinza ma****ni!.
 
Vipi amesitisha kukupa za matunzo nini?

Ukome kupenda kufichwa mapajani.......ningekuwa mimi kukufuma one day nakuhasi mbele ya kadamnasi

Kula kona fasta chijana kabla hujabemendwa....mke wa mtu baba bora sumu utapiga maziwa
 
Wakati unamtia mimba hukuomba ushauri sasa hivi unaomba ushauri wa nini? mkaribishe kwenu muendelee na mapenzi kama na wewe umempenda,eti kakushawishi, ina maana wewe huna akili zako mpaka ushawishiwe ufanye kitu ambacho hukuwa na ridhaa? haya pole mwambie wewe hukumpenda ila ulitaka kumtumia tu ili akatulie na mumewe
 
Du wanaume mnavyoumia wake zenu kuliwa, l wish mgeumia hivyo hivyo au at least nusu yake nyie (waume wa wake zenu) kuliwa na mabinti/ wanawake! Yaani dunia bila ngoma ingewezekana!

But nyie waume wa watu mnapenda kuibiwa, why??????
 
Back
Top Bottom