Jamani mke huyu!

dah umenikumbusha mbali mzee,Power Mabula nakumbuka alitokea Kyela kama sikosei,maana utotoni nlishawahi kumuona akifanya mavitu vyake vya kukaza kamba kwa meno gari haliondoki!
enzi zake nakumbuka alikua anatembea na mwanamazingaombwe mmoja anaitwa profesa eyeso,hachelewi kubadili karatasi kuwa pesa.
 
Rafiki yangu amebahatika kumpata mwenza wake wa maisha na ni mwaka wa tatu sasa tangu wapo kwenye ndoa.Tangu waoane na mwanamke huyu,furaha ya rafiki yangu imekuwa kubwa lakini yenye kuchanganyika na wasiwasi mkubwa.

Ni kawaida kusikia wanaume tunasema lazima mwanamke awe soft na mwenye mikono laini.Lakini kwa mwanamke huyu hali ni tofauti.Rafiki yangu akileta magunia ya mkaa mwanamke anabeba bila hata msaada wa mtu yeyote.Kuna nyumba wanajenga,nje kidogo ya jiji,wakati wa kwenda kununua mbao,matofali na simenti mwanamke alibeba mwenyewe.Mbaya zaidi mwanamke huyu akiamka saa kumi na moja kamili yeye ni tizi kwenda mbele.Ameaandaa kijimu cha kishikaji upenuni mwa nyumba na anapiga tizi mpaka rafiki yangu huyu anaogopa.
Katika mambo fulani jamaa anasema mkewe hachoki,ule usoft wa mikono na mwili mzima ndo basi tena haupo.Lakini cha kufurahisha zaidi mtaani hapo hakuna anayethubutu kuleta fujo,maana anagawa dose kama hana akili nzuri.Rafiki yangu ametokea kuwa na adabu ya kupitiliza.Amani imekuwa haba kwa rafiki yangu.

......Nimesoma hii thread yako hadi nacheka, huyu mwanamke kweli baunsa.Hana hata shida ya house girl huyu...lol
 
Rafiki yangu amebahatika kumpata mwenza wake wa maisha na ni mwaka wa tatu sasa tangu wapo kwenye ndoa.Tangu waoane na mwanamke huyu,furaha ya rafiki yangu imekuwa kubwa lakini yenye kuchanganyika na wasiwasi mkubwa.

Ni kawaida kusikia wanaume tunasema lazima mwanamke awe soft na mwenye mikono laini.Lakini kwa mwanamke huyu hali ni tofauti.Rafiki yangu akileta magunia ya mkaa mwanamke anabeba bila hata msaada wa mtu yeyote.Kuna nyumba wanajenga,nje kidogo ya jiji,wakati wa kwenda kununua mbao,matofali na simenti mwanamke alibeba mwenyewe.Mbaya zaidi mwanamke huyu akiamka saa kumi na moja kamili yeye ni tizi kwenda mbele.Ameaandaa kijimu cha kishikaji upenuni mwa nyumba na anapiga tizi mpaka rafiki yangu huyu anaogopa.
Katika mambo fulani jamaa anasema mkewe hachoki,ule usoft wa mikono na mwili mzima ndo basi tena haupo.Lakini cha kufurahisha zaidi mtaani hapo hakuna anayethubutu kuleta fujo,maana anagawa dose kama hana akili nzuri.Rafiki yangu ametokea kuwa na adabu ya kupitiliza.Amani imekuwa haba kwa rafiki yangu.[/QUOTE]

Ahahahahha yaani mbavu sina.....hizo dosi mmmmmmnh!!
 
salaam muafaka kwa noname................... noname please njoo ukoment hapa......... manake nikuambia mwanamke kazi unasema siyo mapenzi............... haya huyu mwenzanu kaatoa kimasomaso .................. anafaa sana............ ngoja nikamfundishe na wangu mazoezi.................
haha Akili umenianza tena uchokozi... sinilikuwacha

No comments ... but I am just not that type of woman.... na majunia ya mkaa duh!!! sipati picha...
 
mwambie aache ushamba! na akijizubaisha watampata wanaoweza kuitumia hiyo fursa.................

Jamani ndio maana wanaitwa wenza! kwa nini hatuelewi hili?

Nitatoa mfano; ni mtu nayevutiwa na mazoezi lkn kuna wakati nilijiachia sana na mwenzangu kumbe hakuwa anafurahia hiyo hali alianzisha mkakati wa mazoezi ya kukata tumbo nami nikamfuata! tunafanya mazoezi lkn ukweli yeye ndo anafanya zaidi yangu na hata misuli yeye inamtoka vizuri tumboni kunizidi hii ni challenge nzuri!

lakini sio ka hivi jamani, ulaini wa ngozi ya mwanamke na muonekano wake wa kike lazima vitunzwe, mwanamke awe na misuli, hata hamu ya tendo la ndoa sidhani ka litakuwapo!! hebu angalieni mfano kwa attachment hiyo, je kweli na akili timamu unataka mkeo awe na muonekano huo? mi kwangu hata outing's hamna, maana mi ndo nisije onekana mwanamke!!
 
Attachments

  • 1933.jpg
    1933.jpg
    32.2 KB · Views: 113
hahahahaha hehehehehe hii habari inachekesha haijanisikitisha hata kidogo bali imenivutia mwambie rafiki yako anipe namba ya wife nimeipenda hii
 
Jamani hii ni stori ya kutunga tu hamna ukweli wowote. Lol! Great thinkers wengine bwana!
 
Rafiki yangu amebahatika kumpata mwenza wake wa maisha na ni mwaka wa tatu sasa tangu wapo kwenye ndoa.Tangu waoane na mwanamke huyu,furaha ya rafiki yangu imekuwa kubwa lakini yenye kuchanganyika na wasiwasi mkubwa.

Ni kawaida kusikia wanaume tunasema lazima mwanamke awe soft na mwenye mikono laini.Lakini kwa mwanamke huyu hali ni tofauti.Rafiki yangu akileta magunia ya mkaa mwanamke anabeba bila hata msaada wa mtu yeyote.Kuna nyumba wanajenga,nje kidogo ya jiji,wakati wa kwenda kununua mbao,matofali na simenti mwanamke alibeba mwenyewe.Mbaya zaidi mwanamke huyu akiamka saa kumi na moja kamili yeye ni tizi kwenda mbele.Ameaandaa kijimu cha kishikaji upenuni mwa nyumba na anapiga tizi mpaka rafiki yangu huyu anaogopa.
Katika mambo fulani jamaa anasema mkewe hachoki,ule usoft wa mikono na mwili mzima ndo basi tena haupo.Lakini cha kufurahisha zaidi mtaani hapo hakuna anayethubutu kuleta fujo,maana anagawa dose kama hana akili nzuri.Rafiki yangu ametokea kuwa na adabu ya kupitiliza.Amani imekuwa haba kwa rafiki yangu.
huyo ndiye mke katika maisha yetu ya kila siku majambazi yanapenda kuvamia nyumba haswa kukiwa na wanawake watupu Mwamabie rafiki yako mke huyo asimwache ila huyo rafiki yako akiwa anapenda kwenda kwenye nyumba ndogo kazi kwake ni kipigo Heavy kitamkuta Rafiki yako nampa hongera Rafiki yako kwa kupata mke shupavu hoyeeee
 
Mimi nampa pole sana, maana dunia ya leo ina mambo mengi sana. Lakini akae akijua huyo ni mke tuu hakuna tofauti na wanawake wengine! Ila aangalie asijiulize maswali sana, kisha wenzie wakamuibia! MANAKE KIBAYA KWAKO AU CHA AJABU KWAKO, KIZURI SANA KWA WENZIO!
 
Naona wengi wa JF members wanaipinga hii thread kwamba ni ya uongo. Kwangu hii ni kweli. Huko Ikwiriri-Rufiji kulikuwa na mtu aitwaye TANO, nguvu zake zilikuwa si za kawaida kwani alikuwa na uwezo wa kubeba zaid ya kilo mia tano za mzigo. Aiddha kula yake haikuwa haba nadhani ni chakula cha watu watano peke yake anafuta. Mhe. huyo alikuwa na BINTI aliyerithi ubavu huo shughuli yake haikuwa haba. Mume wa binti huyo alizoea kupigapiga bila sababu za msingi, na kila kitendo hicho kikifanyika mke alikuwa akitoa onyo la kuwa iko siku nitakuumiza bila mafanikio. Siku ya siku wakati mume akitembeza kichapo alinyanyuliwa juujuu kama mzigo na kuulizwa nikubwage chini? Hakubwagwa chini kwakuwa ni mume ila NJEMBA iliwekwa chini ilikimbilia ndani na kuandika talaka. Talaka ilishwihi kwanni wote walikuwa waislamu. Kwangu mke huyo aninifaa; akimchoka anitafute nimrithi
 
...mpaka hapo inatosha kwamba ndiye mke aliyemchagua yeye. Kampenda mwenyewe, usimchanganye rafikiyo na 'power-Mabula' wake bana.
Mbu bwana

power Mabula, umenikumbusha mbali sana mtu wangu.....
 
Kwangu hii ni kweli. Huko Ikwiriri-Rufiji kulikuwa na mtu aitwaye TANO, nguvu zake zilikuwa si za kawaida kwani alikuwa na uwezo wa kubeba zaid ya kilo mia tano za mzigo
Uongo mwingine hauna hata chembe za ukweli! Huyo angeingia kwenye Guinness world records

Mke mwema anatoka kwa mungu, mwambie rafikiako amshukuru sana mungu kwa kumpa mke mwema mchapa kazi. Kwani wa hìvyo adimu sana. Ila inchekesha kinoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom