Jamani mke huyu!

Kweli.. ni ya kutunga... alitaka ajue maoni ya watu.. pengine anataka kuoa mke wa aina hiyo au mshikaji wake... ingekuwa kweli , angefaa jamaa wa Daily News wamrushe kwenye makala ya Woman..
 
Bado sijaona tatizo kuwa na Mke kama huyo.
tatizo ni kwamba hatuna mazoea ya kufanya mazoezi hata kwa wanaume tulio wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom