Jamani Mimi siyo Malaya, tuheshimiane

Jamani Mimi siyo Malaya, tuheshimiane

Usikoleze moto kwa kuonesha maumivu yako.. Sometimes unakaza roho unapita kimya unavumilia yanapita. Kwakuwa ukweli unao mwenyewe na huhitaji kumthibitishia yeyote anayekutuhumu kwa lolote.

Hakuna jibu baya kama UKIMYA. !
Naelewa ila Acha niwanyooshe na hainiumizi eti
 
Mnakera,mmenikera hamnijui , siwajui.

Kuna post ya Nusrat imepostiwa si muda mwingi,anasema sijui alikuwa anajiuza sasa kaacha,sijui anataka kuacha.

Cha ajabu kwenye komenti kuna mijitu inasema eti watabaki na Mimi Malaya,kivipi niliwahi kuwauzia wapi,
Mnikome,mnikome sipendi.

Wewe mbaga na mwenzio sijui mkangafu acheni mambo yenu ni lini mliwahi kuni****

Haoooooh waone na misura yenu mibovu, mxieeew
nakupenda mary
 
IMG_2258.jpeg
 
Na wewe unajitetea mno! Si ukae kimya Sisi ndio tukujaji! Unaharibu bwana!
 
Back
Top Bottom