Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,607
- 7,490
Marry anatuchora tuondoke hukuJackson QUECA ushaambiwa ukipenda malaya, kubali uused wake 🔥
Marry anatuchora tuondoke hukuJackson QUECA ushaambiwa ukipenda malaya, kubali uused wake 🔥
Marry Diana kwa majibu haya ushajua watu unaodili nao..!! 😹Ndio
Kwan watu wa JF wapo mbinguni?Sijui niseme nini lakini itoshe kusema hii ni hekima ya viwango vya juu mno , sijawahi kukutana live na mwanajf yeyote.
Lakini namna navyoongelewa ,napata hasira sana
MamboMarry Diana kwa majibu haya ushajua watu unaodili nao..!! 😹
Hawa hawana cha kupoteza wapo kuchangamsha kijiwe ni bora ukapotezea..!!
Dah 😂Hata mama yako atahusika tu,na ni malaya alit****bwa ukazaliwa wewe
Umeamua kupiga pasi ndefu halafu mpira uelekee mahali ulipo.Wanaume wenzangu nafikiri si vema kumhukumu mtu before hujamuona ni vema tuwe na mipaka Marry Diana siyo wa kitambaa cheupe ni wife materials
Kwahy n humu tuu 🔥Naelewa ila Acha niwanyooshe na hainiumizi eti
Muacheni marry D bhana 😹Mambo
Nilimmis tuu, nmemis matusi yake, ww c unaona anavyoyatoa kwenye comment 😸Muacheni marry D bhana 😹
Haoooooh waone na misura yenu mibovu, mxieeew
Nimecheza sana bro 😅Dah 😂
Nimecheka knoma
Kuna mifumo ama kanuni za kisaikolojia zisizobadilika ujue!Mnakera,mmenikera hamnijui , siwajui.
Kuna post ya Nusrat imepostiwa si muda mwingi,anasema sijui alikuwa anajiuza sasa kaacha,sijui anataka kuacha.
Cha ajabu kwenye komenti kuna mijitu inasema eti watabaki na Mimi Malaya,kivipi niliwahi kuwauzia wapi,
Mnikome,mnikome sipendi.
Wewe mbaga na mwenzio sijui mkangafu acheni mambo yenu ni lini mliwahi kuni****
Haoooooh waone na misura yenu mibovu, mxieeew
Utavimba upasuke bila sababu. Mtu hawi malaya kwa kuitwa tu malaya. Mtu huwa malaya kwa kufanya umalaya! Bila kufanya umalaya, unaweza kuitwa malaya hata 24/7 na bado hutakuwa malaya!Mnakera,mmenikera hamnijui , siwajui.
Kuna post ya Nusrat imepostiwa si muda mwingi,anasema sijui alikuwa anajiuza sasa kaacha,sijui anataka kuacha.
Cha ajabu kwenye komenti kuna mijitu inasema eti watabaki na Mimi Malaya,kivipi niliwahi kuwauzia wapi,
Mnikome,mnikome sipendi.
Wewe mbaga na mwenzio sijui mkangafu acheni mambo yenu ni lini mliwahi kuni****
Haoooooh waone na misura yenu mibovu, mxieeew
Mimi sina mama nilizaliwa maabara ,naomba basi uwe mama yangu.Sasa mama yako hawezi,kakunyonyesha miaka yote ashindwe kukupa hiyo chumvi
Naelewa,wala usijaliMarry Diana kwa majibu haya ushajua watu unaodili nao..!! 😹
Hawa hawana cha kupoteza wapo kuchangamsha kijiwe ni bora ukapotezea..!!
Wewe inakuhusu nini,si ukae kimya na wewe mxieeewNa wewe unajitetea mno! Si ukae kimya Sisi ndio tukujaji! Unaharibu bwana!
Tatizo liko kwenye ID yako.loh ! mgeni wamejazana huko halafu baadae wataanza kuniita malaya , wakati msabato lialia mimi