Jamani Mimi siyo Malaya, tuheshimiane

Jamani Mimi siyo Malaya, tuheshimiane

Mnakera,mmenikera hamnijui , siwajui.

Kuna post ya Nusrat imepostiwa si muda mwingi,anasema sijui alikuwa anajiuza sasa kaacha,sijui anataka kuacha.

Cha ajabu kwenye komenti kuna mijitu inasema eti watabaki na Mimi Malaya,kivipi niliwahi kuwauzia wapi,
Mnikome,mnikome sipendi.

Wewe mbaga na mwenzio sijui mkangafu acheni mambo yenu ni lini mliwahi kuni****

Haoooooh waone na misura yenu mibovu, mxieeew
Nina jambo na ww
 
Maneno yana nguvu kubwa ya kujenga au kubomoa, na kwa bahati mbaya, yamekuwa yakitumiwa vibaya kushusha utu wa wanawake jasiri wanaojiamini.

Moja ya mifano ya hivi karibuni ni vitendo vya baadhi ya watu kumwita Marry Diana maneno ya kashfa na kumpachika jina la "malaya," jambo ambalo ni ukiukwaji mkubwa wa utu wake na linapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Ni rahisi sana kwa jamii kumnyooshea kidole mwanamke kwa sababu tu hawamuelewi au hawakubaliani na mtindo wake wa maisha, lakini Marry Diana ana haki kamili ya kuishi, kufanya kazi zake, na kujieleza bila kuandamwa na matusi au kejeli zinazolenga kudhalilisha jinsia yake.

Kushambulia tabia au maadili ya mtu bila uthibitisho wowote kunaonyesha upungufu mkubwa wa ukomavu, na tabia hii mbaya inaharibu saikolojia ya mlengwa na familia yake, huku ikitengeneza mazingira yasiyo salama kwa wanawake wote kijamii na mtandaoni.

Marry Diana siyo kile ambacho watu wenye nia ovu wanajaribu kumwita, bali ni binadamu anayestahili heshima ya msingi kama mtu mwingine yeyote yule.

Kama jamii yenye ustaarabu, tunapaswa kuacha chuki na matusi ya kijinsia, tujifunze kutofautiana na watu bila kushusha utu wao, na badala yake tujenge utamaduni wa kulinda haki zao; kwa ufupi, mheshimuni Marry Diana
Sijui niseme nini lakini itoshe kusema hii ni hekima ya viwango vya juu mno , sijawahi kukutana live na mwanajf yeyote.

Lakini namna navyoongelewa ,napata hasira sana
 
Unachobishia nini?
 
Attachments

  • Screenshot_20260702_213742_Lite.jpg
    Screenshot_20260702_213742_Lite.jpg
    47 KB · Views: 8

Mjadala na ufungwe basi
 
Sijui niseme nini lakini itoshe kusema hii ni hekima ya viwango vya juu mno , sijawahi kukutana live na mwanajf yeyote.

Lakini namna navyoongelewa ,napata hasira sana
Usikoleze moto kwa kuonesha maumivu yako.. Sometimes unakaza roho unapita kimya unavumilia yanapita. Kwakuwa ukweli unao mwenyewe na huhitaji kumthibitishia yeyote anayekutuhumu kwa lolote.

Hakuna jibu baya kama UKIMYA. !
 
Back
Top Bottom