Jamani mie siipendi hii tabia ya wanaume ka nini...

kwa lawamaaa...

tofauti kubwa ya mwanamke na mwanaume ni vitu viwili vikubwa!
1.kupendwa ---- -------hapa ndio ulimbo wa mwanamke ulipo! anataka kupendwa na kubembelezwa!
2.kuheshimiwa ============== hapa ndio ulimbo wa wanaume ulipo! kupendwa sio big deal we mheshimu tu mpe ufalme!


ni ngumu kumpenda bila kumheshimu! ni rahisi kumheshimu bila kumpenda!
 
Ukiona hivyo ujua mambo yalishaharibika muda mrefu. Hapo ni mwendelezo tuu
 
Back
Top Bottom