Jamani mbona nafanyiwa hivi

Jamani mbona nafanyiwa hivi

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
hello jf
nina mpenzi wangu ninaye mfahamu mimi tu bado sijampeleka kwa wazazi ila anaonekana ana via amri amri vya ajabu ananitaka nimpikie chakula nisafishe vyombo ni pige deki kisa tu majirani wanaotuzunguka waume wa hao watu wanafanya hayo so kwa upande wangu naona ni jambo la ajabu maana kufanya hivyo anaweza kujizoesha kuni amrisha
sas je nipo sahihi au sipo sahihi? Kwa nini ?
 
Siku utakayoniambia nifanye kitu fulani kwasababu fulani anafanya, unawekwa benchi
 
Chochote utakachoamua kufanya kwenye penzi basi kifanye kwa mapenzi yako na si kwa kushurutishwa kwa namna moja au nyingine.
 
hello jf
nina mpenzi wangu ninaye mfahamu mimi tu bado sijampeleka kwa wazazi ila anaonekana ana via amri amri vya ajabu ananitaka nimpikie chakula nisafishe vyombo ni pige deki kisa tu majirani wanaotuzunguka waume wa hao watu wanafanya hayo so kwa upande wangu naona ni jambo la ajabu maana kufanya hivyo anaweza kujizoesha kuni amrisha
sas je nipo sahihi au sipo sahihi? Kwa nini ?

mr creative?anapikishwa,anapigishwa deki,anafulishwa nguo?tobaaaaa
 
mr creative?anapikishwa,anapigishwa deki,anafulishwa nguo?tobaaaaa

kwani tatizo liko wapi jamani si ni domestic duties za kawaida tu na wewe

ila ujue mapenzi kizunguzungu waweza ukapenda bila dawa

afu vyumba vya share wapangaji hawapigi chabo kweli ,haha namtania mtoa mada povu lisijekumtoka
 
kodi ikisha hapo mnapokaa,hamieni pengine alaf umsikie anasemaje
ila na ww mkuu umeka kizembe sana onyesha msimamo wako wa kiume otherwise ipo day utamfulia mpaka chup!
 
hebu weka picha yako nidhaminishe kama wewe ni bushoke au la!
 
labda alikwenda kwa mganga maana hakuwepo kama mwezi hivi so may be ana taka kuproove nguvu ya dawa zake sasa hjapo bado sijamuoa je nikija kutangaza nia si ndo du h sijui itakuaje ila up to na hajafanikiwa kunifanyisha hata kimoja
 
kodi ikisha hapo mnapokaa,hamieni pengine alaf umsikie anasemaje
ila na ww mkuu umeka kizembe sana onyesha msimamo wako wa kiume otherwise ipo day utamfulia mpaka chup!

nina msimamo sana si dhani kama atafanikiwa
 
Kufanya kazi sio shida..ila shida ni kuja kuuliza hapaz..kweli siku hizi wanaume wachache sana
 
tatizo anakushurutisha, msaidie kwa mapenzi yako.....pia wanaume muwe mnasaidia wake zenu vikazi vidogovidogo vinachochea kuimarika kwa penzi
 
hello jf nina mpenzi wangu ninaye mfahamu mimi tu bado sijampeleka kwa wazazi ila anaonekana ana via amri amri vya ajabu ananitaka nimpikie chakula nisafishe vyombo ni pige deki kisa tu majirani wanaotuzunguka waume wa hao watu wanafanya hayo so kwa upande wangu naona ni jambo la ajabu maana kufanya hivyo anaweza kujizoesha kuni amrisha sas je nipo sahihi au sipo sahihi? Kwa nini ?
kupelekeshwa siko tayari labda niamue mwenyewe ukikubali akupelekeshe mzee atakuaibisha siku Moja mbele ya wazaz wako na pia atakuzarau balaaa
 
kodi ikisha hapo mnapokaa,hamieni pengine alaf umsikie anasemaje
ila na ww mkuu umeka kizembe sana onyesha msimamo wako wa kiume otherwise ipo day utamfulia mpaka chup!

mmmh jamani kwani kumfulia chupi si mapenzi tuuu
 
Huyu anapima kina cha maji, akiona hawezi zama basi ataamua kuchukua mzigo jumla. Yaani kuwa makini mtu wangu, hapo anatafuta udhaifu wako na kuangalia umesimamia miguu mingapi. Akiona utamzidi nguvu basi anaachia ngazi. Umenipata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom