Jamani Maulid Said Mtulia ana matatizo gani?

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
547
225
Hivi hii ni akili kweli au kupoteleza pesa bure ili hali vyuma vinabana na Wananchi wana shida, kero na matatizo mbali mbali yanayotukabili.

Eti Maulid Said Mtulia anajiudhulu UKAWA Ubunge anahimia CCM nafasi hiyo hiyo ya Ubunge na jimbo hilo hilo la Kinondoni.

Mi ni mmoja wa waliompigania kura na kusimamia haki kupitia Ukawa mpaka akashinda tena bure bila malipo nikishirikina na Washikaji zangu leo jamaa amesahau utu wetu maumivu yetu na jasho la kukutetea haki mpaka kuipata nafasi ya Ubunge Cuf eti anatuchezea akili nakurudi tena upande wa pili akidai tena apigiwe kura.

Mungu anamuonaaa..hapa duniani na kesho akhera ajiandae akumbuke sisi sio wafanyama tulioumia na kujitoa kwa ajili yake mpaka kukaa kiti cha Mfalme nakituchezea akili INAUMA SANAAAA...Wengine tuligombana mpaka na familia zetu nakutengwa just kwa ajili yake we jiulize ni uchungu na maumivu kiasi gani tulionayo.

FB_IMG_15169640249459324.jpg

FB_IMG_15169640104454667.jpg
 
gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,504
2,000
Majitu majinga kama haya inabidi itungwe sheria kali kabisa itakayowekwa kwenye makosa ya uhujumu uchumi ili yasiendelee kujitokeza kwenye siasa za nchi hii, maana bila kufanya hivi kwa aina za siasa hizi za kishamba zinazoratibiwa na ccm taifa hili litaendelea kupukutisha mabilioni ya pesa kiholela huku hospital hazina dawa
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026

MTU yeyeto anaechezea kodi zetu ni mhujumu uchumi, hizo hela za uchaguzi zingesaidia punguza kero kwa Vijana kinondoni mikopo kwa Vijana,hata madawa,Leo tunalipa kodi mtu anacheza nazo,MTU asihaminika afai Maana ujui maamuzi yake ya kesho atahamia chama kipi.
 
Ndalama

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
8,795
2,000
Hivi hii ni akili kweli au kupoteleza pesa bure ili hali vyuma vinabana na Wananchi wana shida, kero na matatizo mbali mbali yanayotukabili.

Eti Maulid Said Mtulia anajiudhulu UKAWA Ubunge anahimia CCM nafasi hiyo hiyo ya Ubunge na jimbo hilo hilo la Kinondoni.

Mi ni mmoja wa waliompigania kura na kusimamia haki kupitia Ukawa mpaka akashinda tena bure bila malipo nikishirikina na Washikaji zangu leo jamaa amesahau utu wetu maumivu yetu na jasho la kukutetea haki mpaka kuipata nafasi ya Ubunge Cuf eti anatuchezea akili nakurudi tena upande wa pili akidai tena apigiwe kura.

Mungu anamuonaaa..hapa duniani na kesho akhera ajiandae akumbuke sisi sio wafanyama tulioumia na kujitoa kwa ajili yake mpaka kukaa kiti cha Mfalme nakituchezea akili INAUMA SANAAAA...Wengine tuligombana mpaka na familia zetu nakutengwa just kwa ajili yake we jiulize ni uchungu na maumivu kiasi gani tulionayo.

View attachment 684805

View attachment 684808
Hii picha ya juu na ya chini ni watu wawili tofauti?
 
Ngoso

JF-Expert Member
May 26, 2012
527
250
Majitu majinga kama haya inabidi itungwe sheria kali kabisa itakayowekwa kwenye makosa ya uhujumu uchumi ili yasiendelee kujitokeza kwenye siasa za nchi hii, maana bila kufanya hivi kwa aina za siasa hizi za kishamba zinazoratibiwa na ccm taifa hili litaendelea kupukutisha mabilioni ya pesa kiholela huku hospital hazina dawa
mtulia ni tatizo dogo sana tatizo kubwa niunafiki wa chama dola kilichomsimamisha. serikali ya ccm ilishindwa nn kuleta maendeleo kinondoni wakishirikiana na mbunge huyo huyo akiwa cuf eti hadi ahamie ccm ndio maendeleo yapatikane!!!!!!! kwahiyo inadhihirisha wazi palipo na mbunge wa upinzani maendeleo hakuna hadi waunge mkono serikali kwa kujiunga sisiemu,kazi kweli kweli teh teh teh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom