Mtulia: Mkinikopesha kura zenu, nitawalipa maendeleo

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
*YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI KWA TIKETI YA CCM, NDUGU MAULID SAID MTULIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ENEO LA MSUFINI, KATA YA MWANANYAMALA LEO ALHAMIS FEBRUARI 01, 2018*

"Nimejiunga kwenye chama chenye dola na chenye ilani ya uchaguzi, tatizo lipo wapi? - Mtulia

"Kama mimi Msaliti mbona wao wameshindwa kuungana kwa pamoja kupambana nami msaliti? Uko wapi umoja wao wa Ukawa? Nani msaliti hapo? - Mtulia

"Nyote ni mashahidi namna ambavyo nimekuwa nikitoa pesa zangu mfukoni kunyonya maji wakati wa mafuriko" - Mtulia

"Mtulia mimi nilienda Mahakamani kuzuia bomobomoa nyote mlishuhudia ubomoaji ule ulizuiwa mpaka kesho" - Mtulia

"Chama hiki ndicho kilichotoa pesa kujenga soko la Msisiri, kujenga madaraja na kujenga madarasa. Nipo kwenye chama sahihi chenye kuleta maendeleo kwa jamii." - Mtulia

"Nimekabidhiwa ilani na Polepole na nikishinda nitaanza na agizo la kuhakikisha pesa za Vijana na Wanawake toka Manispaa zinatolewa mapema iwezekanavyo" - Mtulia

"Mkimchagua Mtulia matatizo ya maji, mifereji na kuchimba mitaro, kujenga barabara na matatizo mengineyo yatakwisha kabisa" - Mtulia

"Nimejitoa mhanga ya kujiuzulu ili kuwaokoa Wana Kinondoni" - Mtulia

"Pasipo kushirikiana na Serikali mimi Mbunge ningepata wapi hela za kujenga barabara, kujenga mifereji, kujenga maghorofa? Ukiwa Kiongozi mpinzani ni ngumu kuleta maendeleo kwa Wananchi, nawaambia ukweli." Mtulia

"Nikiwa Mbunge kupitia tiketi ya CCM kutanipa urahisi wa kuwaletea maendeleo wana Kinondoni" - Mtulia

"Leo hii nina namba ya Rais itanipa urahisi wa kufikisha shida na matatizo yenu wana Kinondoni kwa Rais. Nitahakikisha mnapata maendeleo na maisha bora" - Mtulia

"Mkinikopesha kura zenu, nitawalipa maendeleo ya kweli wana Kinondoni. Naomba kura zenu wana Kinondoni." - Mtulia
received_585214301818324.jpeg
IMG_20180201_175138.jpg
IMG_20180201_175959.jpg
IMG_20180201_173351.jpg
FB_IMG_1517502563789.jpg
 
Hahaha Tundu Lisu kapigwa risasi mnachukia, nyie mnamuombea binadamu kifo mbona hicho kipo tu?! mumnyime kura msimuwazie/kumuombea kifo.

Mkuu ndivyo ilivyoandikwa ktk vitabu vitakatifu pale Mtu mwingine inapothibitika kumkwaza Mtu mwingine kwa makusudi na kwa hila mbaya Moyoni !
 
Kuna watu sijui huwa wanafikiria kweli, kama kuna watu wanamuunga huyu jamaa mkono kwa kitendo chake hakika wanahitaji kupimwa mkojo
Katika hili CCM mmeonesha udhaifu na kuchezea akili za watu, hamkushtushwa na gharama zisizo na msingi waliotuingiza km nchi kurudia uchaguzi, bila hiyana na nyie mkawarudisha haohao?
 
Mkuu ndivyo ilivyoandikwa ktk vitabu vitakatifu pale Mtu mwingine inapothibitika kumkwaza Mtu mwingine kwa makusudi na kwa hila mbaya Moyoni !
Hahaha na imeandikwa "hatutaishi kwa maandiko,tutumie akili na maarifa tuliyopewa na muumba wetu" Tubishane na tupingane lakini tusiuane
 
Nenda zako wewe. Umewaingiza walipa kodi hasara ya zaidi ya bilioni moja na si ajabu damu kumwagika kwa upuuzi wako! Eti najiuzulu Ubunge ili nimuunge mkono Magu!!! Nani alikudanganya huwezi kumuunga mkono ukiwa CUF!??

*YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI KWA TIKETI YA CCM, NDUGU MAULID SAID MTULIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ENEO LA MSUFINI, KATA YA MWANANYAMALA LEO ALHAMIS FEBRUARI 01, 2018*

"Nimejiunga kwenye chama chenye dola na chenye ilani ya uchaguzi, tatizo lipo wapi? - Mtulia

"Kama mimi Msaliti mbona wao wameshindwa kuungana kwa pamoja kupambana nami msaliti? Uko wapi umoja wao wa Ukawa? Nani msaliti hapo? - Mtulia

"Nyote ni mashahidi namna ambavyo nimekuwa nikitoa pesa zangu mfukoni kunyonya maji wakati wa mafuriko" - Mtulia

"Mtulia mimi nilienda Mahakamani kuzuia bomobomoa nyote mlishuhudia ubomoaji ule ulizuiwa mpaka kesho" - Mtulia

"Chama hiki ndicho kilichotoa pesa kujenga soko la Msisiri, kujenga madaraja na kujenga madarasa. Nipo kwenye chama sahihi chenye kuleta maendeleo kwa jamii." - Mtulia

"Nimekabidhiwa ilani na Polepole na nikishinda nitaanza na agizo la kuhakikisha pesa za Vijana na Wanawake toka Manispaa zinatolewa mapema iwezekanavyo" - Mtulia

"Mkimchagua Mtulia matatizo ya maji, mifereji na kuchimba mitaro, kujenga barabara na matatizo mengineyo yatakwisha kabisa" - Mtulia

"Nimejitoa mhanga ya kujiuzulu ili kuwaokoa Wana Kinondoni" - Mtulia

"Pasipo kushirikiana na Serikali mimi Mbunge ningepata wapi hela za kujenga barabara, kujenga mifereji, kujenga maghorofa? Ukiwa Kiongozi mpinzani ni ngumu kuleta maendeleo kwa Wananchi, nawaambia ukweli." Mtulia

"Nikiwa Mbunge kupitia tiketi ya CCM kutanipa urahisi wa kuwaletea maendeleo wana Kinondoni" - Mtulia

"Leo hii nina namba ya Rais itanipa urahisi wa kufikisha shida na matatizo yenu wana Kinondoni kwa Rais. Nitahakikisha mnapata maendeleo na maisha bora" - Mtulia

"Mkinikopesha kura zenu, nitawalipa maendeleo ya kweli wana Kinondoni. Naomba kura zenu wana Kinondoni." - MtuliaView attachment 688831View attachment 688832View attachment 688833View attachment 688834View attachment 688835
 
Aiseee.... Ni kweli kasema hayo au wamemnukuu vibaya!!! Kama kweli kaongea hayo "he is PATHETIC!!!".
 
Si.a.sa
 
Huyu sio mwaminifu amekopeshwa hizo kura,afu amehama nyumba bila kulipa,anakuja tena kutaka kukopeshwa mara ya pili duuh!!? Akihama tena?!!
 
"Pasipo kushirikiana na Serikali mimi Mbunge ningepata wapi hela za kujenga barabara, kujenga mifereji, kujenga maghorofa? Ukiwa Kiongozi mpinzani ni ngumu kuleta maendeleo kwa Wananchi, nawaambia ukweli.
" Mtulia

hebu wajuvi wa mambo changanueni hii kauli
 
Huyu sio mwaminifu amekopeshwa hizo kura,afu amehama nyumba bila kulipa,anakuja tena kutaka kukopeshwa mara ya pili duuh!!? Akihama tena?!!
AMERUDI TENA ANAOMBA KUKOPESHA MARA YA PILI ILHALI DENI LA KWANZA ALIKULA MPENYO BILA KULIPA SASA TUONE AKILI YA MKOPESHAJI IKOJE.
 
Miongoni mwa watu niliowadharau na katika dunia hii kwa sasa ni huyu Mtulia na yule mwenzake wa Siha.

Hivi kweli unawaingiza watanzania kwenye gharama za kijinga kwasababu za kipuuzi kiasi hiki..kweli?

Hivi hawaoni aibu kusimama mbele ya wananchi na kuwaomba kura?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom