masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,901
- 15,127
View attachment 156216
Massawe(jina la utani) ni mtafutaji kweli kweli.
Kuliko kutumia chepe aliamua kununua kijiko kuchota mchanga katika mto Mpiji(mto katika mpaka wa mkoa wa DSM na Bagamoyo).
Bahati mbaya kijiko siku hiyo kikaharibika, Massawe akaamua kufuatilia mafundi ili kesho yake wakitengeneze.
Astakafullahi, mvua ikanyesha usiku, tena mvua kubwa kabisa, kijiko kikazama na kuharibika
Tazama vizuri picha hii bado kijikokiko katikati ya mkondo wa mto Mpiji.
Masikini Massawe kapata hasara aiseee!!!