Jamani Masaada......!

Jamani Masaada......!

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693
Habarini wanduga
kuna lile tangazo la Chacha na Masawe , ambapo Masawe anamuuliza Chacha atapata wapi kaptula kubwa yenye mamifuko makubwa anataka kwenda China kibiashara.
mwenye tangazo hilo naomba alimwage hapa maana kila nikilisikiliza linanifanya nicheke sana......."!

Natanguliza shukrani,
 
Mkubwa hilo mi sijali note vizuri, ila lipo lile la Bibi anamwambia Mjukuu wake kwamba -
"Darasa la kwanza tu! Una midaftari mfuko umejaa! Ukifika chuo kikuu si mgongo utapinda!"
 
Back
Top Bottom